Chawa Lyrics

Tumbo lasokota njaa inauma
Chakula kipi eti
Najitahidi nikutoe mawazoni mwangu
Nikusahau
Yarabi nafsi yangu juu yako
Haiambiliki
Nishajaribu na mbuli ya kukonda
Kau kau
Nife wanizike, ila kwambiwa nikwache wewe
Ni sawa na kutwanga
Maji kwenye kinu
Nimeridhia mimi mwenyewe
Ata nikuone mara moja kwa msimu
Kweli nasema nakupenda mama wewe
Kweli nahema ila mapigo ya moyo
Checheme checheme
Chawa chawa
Mi kwako chawa niburuze unavyotaka
Chawa, shufa la mbatata
Chawa chawa
Mi kwako chawa nipeleke unavyotaka
Chawa, shufa la mbatata
Ujishtukie
Ukipata visafari vyako vya usiku
Nimekurusu nenda
Wala usiwaze
Eti mpaka unipeti kwa mabusu
Aah sijali nenda
Ni kweli lauma ila nitazoea
Mi kwako kolombwe puzi lako laninogea mimi
Nife wanizike, ila kwambiwa nikwache wewe
Ni sawa na kutwanga
Maji kwenye kinu
Nimeridhia mimi mwenyewe
Ata nikuone mara moja kwa msimu
Kweli nasema nakupenda mama wewe
Kweli nahema ila mapigo ya moyo
Checheme checheme
Chawa chawa
Mi kwako chawa niburuze unavyotaka
Chawa, shufa la mbatata
Chawa chawa
Mi kwako chawa nipeleke unavyotaka
Chawa, shufa la mbatata
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Chawa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE