Home Search Countries Albums

Nitalia

HAMADAI Feat. ZEE

Nitalia Lyrics


Nilikaonyesha mapenzi kameniganda(Ganda)
Kiboko masaji najua kukanda eeh
Mtoto wa Rufiji umama ni Tanga(Tanga Iweza)
Vile najua kusafisha ka fundi randa(Randa)

Yeye kwangu anangoja nikianza kudanda
Eeeh knockout kwenye kiwanja

Mami love, mami love 
Eeh mami love
Mami love, mami love 
Aliyekuwa chini

Baby love, baby love(Panda)
Oooh baby love(Panda)
Baby love, baby love(Panda)
Dabo kibini

Ng'ata ng'ata beiby ooh
Oooh nang'ata ng'ata beiby ooh
Aah dandia eeh
Ooh nadanda danda beiby ooh

Beiby kata kata beiby ooh
Oooh nakata kata beiby ooh
Aah shikilia eeh
Aaah nashika shika beiby ooh

Ukiniacha mwenzako 

Nitalia(Pole)
Nitalia(Pole sana)
Nitalia(Pole)
Nitalia(Pole sana)

Sikatai najua kudeka naringa pia
Unajua kuiweka unazingatia
Bao la ushindi asilimia mia
Natulia tulia

Hivi inatosha? Ama niongezee
Taratibu utanichocha beiby nilegezee
Wanaropoka ropoka beiby waelezee
Fanya kama inatoka, nikolezee

Mami love, mami love 
Eeh mami love
Mami love, mami love 
Aliyekuwa chini

Baby love, baby love(Panda)
Oooh baby love(Panda)
Baby love, baby love(Panda)
Dabo kibini

Ng'ata ng'ata beiby ooh
Oooh nang'ata ng'ata beiby ooh
Aah dandia eeh
Ooh nadanda danda beiby ooh

Beiby kata kata beiby ooh
Oooh nakata kata beiby ooh
Aah shikilia eeh
Aaah nashika shika beiby ooh

Ukiniacha mwenzako 

Nitalia(Pole)
Nitalia(Pole sana)
Nitalia(Pole)
Nitalia(Pole sana)

Ninyongee, ninyonge nyonge
Ninyongee, ninyonge nyonge
Ninyongee, ninyonge nyonge
Ninyongee, ninyonge nyonge

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nitalia (Single)


Copyright : (c) 2019 Kwetu Studios


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HAMADAI

Tanzania

Hamadai is an artist from Tanzania a member of The Mafik . ...

YOU MAY ALSO LIKE