Moto Wa Tipa Lyrics

Njaa ya nature kwenye chorus
Njaa ya Temba kwenye verse
Producer kazi kwako mashabiki wamekaa kitako
Temeke mabegani, Temeke ndo nyumbani
Snitch wapigie polisi waambie waje tumewamisi
Waje na farunyunyu wakatuswage korokoroni
Temeke si ndo home utatuacha kama tulivyo
Utatutishia pistol tweke wapi au disco
Weusi wamekuwa wekundu tumerudi wanalisaka tundu
Msilie msile mtulie dawa iwaingie
Hili dude lina usumbufu mjue
Huu ni moto wa tipa tunakimbiza
Tukija kwa mic kujeni vita
Ni elfu tatu tuu (TMK)
Maandishi matatu tu (TMK)
Huu ni moto wa tipa tunakimbiza
Tukija kwa mic kujeni vita
Ni elfu tatu tuu (TMK)
Maandishi matatu tu (TMK)
--
--
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Moto Wa Tipa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TMK MAANDISHI MATATU
Tanzania
TMK MAANDISHI MATATU is a Tanzanian based Hip Hop Group - Juma Nature, Mh. Temba , KR Mulla & Do ...
YOU MAY ALSO LIKE