Nimehesabu Lyrics
Nimehesabu, Nakuhesabu
Nimehesabu, Nakuhesabu
Nimeongeza na kutoa
Nikazidisha na kugawanya
Nimeona ni wewe, Yesu ni wewe
Nimeona ni wewe eh, Yesu ni wewe
Hakuna mwingine ni wewe, Yesu ni wewe
Pekee yako ni wewe eh, Yesu ni wewe
Hesabu zote nilizofanya
Nimeona ni wewe tu
Pekee yako ni we
Niwewe Yesu ni wewe tu
Mwanzo mwisho ni we
Niwewe Yesu ni wewe tu
Mungu Yesu ni weee
Niwewe Yesu ni wewe tu
Nikikumbuka, ulikonitoa
Nikikumbuka uliyonitendea
Ninakumbuka magonjwa uliyoniponya
Ninakumbuka vita uliyonipigania
Ninakumbuka safari umenitembeza
Ninakumbuka yale Mungu uliyotenda
Oooh ninasema niweee
Bwana ninasema ni wewe tu
Niwewe niweeee
Yesu wewe ni wewe tu
Umetenda haya niwee
Eeh wewe niwewe tu
Hakuna mwingine yawezekana
Niweee...Bwana ni wewe tu
Nani awezaye kutenda uliyotenda bwana
Nani angelipa gharama uliyonilipia
Kumbe si wenye mbioi washindao michezo
Wala walio hodari washindao vitani
Nimeona watumwa wakipanda farasi
Eeh Bwana, wala si wenye hekima wapatao chakula
Bwana, nimejumilisha, nimetoa, nikazidisha, nikagawa
Weweee....sijaona mwingine eeh bwana
Niweeee.. Niwewe tu
Niwewe Bwana
Niweeee.. Niwewe tu
Umetenda haya
Niweeee.. Niwewe tu
Umefanya yote
Niweeee.. Niwewe tu
Niwewe Bwana
Niweeee.. Niwewe tu
Umetenda haya
Niweeee.. Niwewe tu
Umefanya yote
Niweeee.. Niwewe tu
Sifa zote ni zako
Niweeee.. Niwewe tu
Bwana ni wewe ...Bwana
Ooh ni wewe Yesu
Bwana ni wewe ...Bwana
Niweeee.. Niwewe tu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Nimehesabu (Single)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE