Zabwa Lyrics
Mapenzi ni safari ya wawili
Mi nawe kimwana
Dhahiri tusifanye siri
Wajue twapendana
Tuzae na mapacha wawili
Tuitwe baba mama
Usisikize wanafiki manyili
Tukapalanganyana
Nafurahi nina bonge la toto
Navimba tukiwa mtoko
Mi naye ni kulwa na doto
Wanatetemeka eeeh
Chumbani mafoto mafoto
Jikoni mapocho mapocho
Biriani matando makoko
Ona nanepa eeh
Siyawezi ooh siyawezi
Mapenzi ya kitoto siyawezi
Napenda vinono vikubwa mie
Viduchu viduchu siwezi
Siyawezi ooh siyawezi
Mapenzi ya kushare siwezi..
Zabwa zabwa....zabwa eeeh
Mi kwake zabwa
Zabwa zabwa, zabwa eeeh
Msona ndimu wala chumvi
Kwake zabwa mie
Shamba eka moja
Mi uwezo wa kununua sina(Aah sina)
Nitakulisha chombeza
Na ugali wa muhogo dinner(Aah dinner)
Nivumilie vaa midosho
Soon tutaenda China(China)
Maradhi usijali
Napambana nikufungulie bima
Sitamani nikuache na njaa
Akili yangu zoa zoa eeh
Naganga kusaka chapaa
Mama eeh mmmh
Kitandani wanipa raha
Sitamani ata kuchomoa mama
Na ujanja wangu aka Hamadai
Siyawezi ooh siyawezi
Mapenzi ya kushare siwezi..
Zabwa zabwa....zabwa eeeh
Mi kwake zabwa
Zabwa zabwa, zabwa eeeh
Msona ndimu wala chumvi
Kwake zabwa mie
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Zabwa (Single)
Copyright : (c) 2020 The Mafik.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE