Mara Ya Kwanza Lyrics

Come on let’s go jay
Aii
Mara ya kwanza
Mara ya kwanza kuingia
Nikawa ka nasikilizia
Uku natafuta njia
Nisije nikaumia ok
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Mara ya kwanza kutumia
Nilizunguka dunia
Nikamuuliza baharia
Mbona sa nasinzia ok
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Alinambia kwamba hili swala letu halina uzito
Anakuaga sawa hata kama mimi nikiwa sipo
Mambo ya kutojua ndo nikachukulia tu simple
Ameshapata mpenzi yule tulikutana nae disco
Mara ya kwanza kuumia
Siku iyo nililia
Mambo ya kuhusu hisia
Sitaki kuyasikia ok
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Mara ya kwanza niliambiwa
Acha umalaya tulia
Mambo yaku fakamia fakamia
Ah kumbe familia ok
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Kuna watu wanapenda sifa
Wakipanda mnazi
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mkononi kashikilia picha
Anaufanya uhuni
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mara ya kwanza my dear
Uchungu utasikia
Pale ikichanganyia
Ndo utamu unaingia ok
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Mara ya kwanza ukipewa
Kwanza usilambe tulia
Pipi ya kumegewa
Yenye utamu wa maziwa
Ok okay
Ndo mara ya kwanza ai wee
Ndo mara ya kwanza oyeh
Ndo mara ya kwanza ai wee
Ndo mara ya kwanza
Come on let’s go jay
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MELODY
Tanzania
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...
YOU MAY ALSO LIKE