Sweety Lyrics

Moyo nilishakuwekaa sio
Siri nishaweka wazi,nakupenda
Saana nishikilie twende sote
Moyo nilishakuweka sio
Siri nishaweka wazi,nakupenda
Saana nishikilie twende sote
Naukishindwa kutamka nionyeshe tu
Kwa vitendo za kibubububu isharaa nitaridhika
Naukishindwa kutamka nionyeshe tu
Kwa vitendo za kibubububu isharaa nitaridhika nitaridhika
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
Wa moyoni
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
Wa moyoni
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Sweety (Single)
Copyright : ©2021 cc Fuga (On Behalf of GOLD LINK MUSIC).All rights reserved
Added By : Erick Yuku
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE