Home Search Countries Albums

Hallelujah(Refix)

FRED OMONDI Feat. ANNABELLE

Hallelujah(Refix) Lyrics


Unaniosha na mapenzi baba
Unaniosha na baraka tele
Unaniosha na mapenzi baba
Its Messenger on the beat

Kama wamwamini injili iende mbele
Wathie polo
Hii kipaji umenipa nikuimbie Yahweh
Wathie polo

Hakika ni Yesu alitufia
Msalabani si tupate uzima
Kamwaga damu yake ju yangu 
Me, we na yeye

Hallelujah, 
Tutaimba hallelujah
Wathie polo

Hallelujah, 
Tukisifu hallelujah
Wathie polo

Wewe ni Mungu mwenye all nations
Baba wa nehema tena wa redemption
Wewe ni Mungu mwenye all nations
Baba wa nehema tena wa redemption
Yeah yeah

Obong'o ipek, eeh
Nyakalaga ipek
Kwa jina lake Yesu 
Hadi mapepo zao zina evaporate

Kwa nguvu za Messiah ninapenetrate
Yesu ni mwokozi tena weigh maker


Na kama wamwamini injili iende mbele
Wathie polo
Kipaji umenipa nikuimbie Yahweh
Wathie polo

Na kama wamwamini injili iende mbele
Wathie polo
Kipaji umenipa nikuimbie Yahweh
Wathie polo

Hallelujah, 
Tutaimba hallelujah
Wathie polo

Hallelujah, 
Tukisifu hallelujah
Wathie polo

Wathie polo
Wathie polo

Roho mtakatifu, yeah
Nitakusifu waziwazi

Nikikuomba unanibariki 
Na tena Yesu sio siri
Baba nikikuomba unanibariki 
Na tena Yesu sio siri

Praise him
Tukipiga tarumbeta(Praise him)
Kisumu to Mombasa(Praise him)
Tukikiri we ni bwana(Praise him)
Yahweh eeh(Praise him, praise him)
Praise him

Hallelujah, 
Tutaimba hallelujah
Wathie polo

Hallelujah, 
Tukisifu hallelujah
Wathie polo

Tukicheza tingisha mabega
Kwa mwokozi raha tuimbe sote
Hallelujah
Wathie polo

Hallelujah, 
Tutaimba hallelujah
Hallelujah, 
Tukisifu hallelujah

Hallelujah, 
Tutaimba hallelujah
Wathie polo

Hallelujah, 
Tukisifu hallelujah
Wathie polo

Wathie polo
Wathie polo
Wathie polo

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Hallelujah(Refix) (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

FRED OMONDI

Kenya

Fred Omondi is a Kenyan comedian ( Eric Omondi brother). ...

YOU MAY ALSO LIKE