Dear Shakilla Lyrics
Dear Shakilla nahope uko poa
Pia nahope unaenjoy that short fame umepata juzi
By the way mtaani umeget fame sana
Ukipita mtu aulize we ni nani
Utaskia huyu anaitwa Shakilla
Na ikifika ni kutwerk she is a killer
Najua ukiskia hii poem utaropoka sana
Ju si ni juzi tu Kamene na Jalas
Walijaribu kukusaidia
Walidhani wanaweza kukutoa kwa street
Hawakujua ulikuwa the whole street
Na offlate umeropoka sana, wacha nikushow
Wewe si gas punguza pressure
Ulidanganywa na maboy flani
Ati shake what your mama gave you
Ukatingisha matako
But niko sure kitu mamako alikupea ni akili
So ungetingisha kichwa ata Teadrops anajua
Ju unajiona sana Kim Kardashian, lakini wacha niku Kanye
Hawa wanaume watakupeleka East to West wakuwaste
Naskia unataka tu wanaume wana Range Rover
Lakini wakisha kubendover alafu wakuturn over
Watakuacha kama left overs
Hii dunia kanyanga pole pole
Ju ukijifanya unajua utajua haujui
Na kama role model wako ni Shakilla
Uliza Mungu ulikosea wapi
Ati Lupita Nyong'o sio role model wako
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Dear Shakilla (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
STORI ZA KAPEDO
Kenya
Story za Kapedo is a Spokenword artist,Motivational speaker and TV host from Kenya. He is very ...
YOU MAY ALSO LIKE