X
Shekite Lyrics
Mtoto Moto motoo,,,
Yani faya faya,nikimwona tumbo jotoo,,,
Mi nagwaya,mtoto Moto motoo faya faya,
Nikimwona tumbo jotoo mi nagwaya,alivyo mlegevu kabeba nyuma konkii ,
Kaonekana mtulivu kwenye danceflow zumbi,,
Zuzu zungunu nikipanda mzuka ndunu huhuu sisemi kasimama kinungunungu.
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Shekite (Single)
Added By : ERICK GIFT
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE