Unanionea Lyrics

Hivi kweli yupo
Mwenye Roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona duniani
Hivi kweli yupo Aso na haya kukushinda
Maana Mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Nikumponya,nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makekee
Na wakati anajua Mi kwako ndo napona
We nihurumie Mi najua mapenzi Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea nimekuzoea mmmh
Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga Mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea,lalalaa mmmmh
Na Kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona Bora unikomeshe unilize eeeh
Ah poa poa
Nishajua vya utamu vinakuwanga vya uchungu
Ila doa doa milima haikutani Hapo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh
Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea,unanipiga Mie
Unanionea,unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea,lalalaa
Unanionea bure Hata Joe anajua
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Unanionea (Single)
Added By : Erick Gift
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE