Majaliwa Lyrics

Mungu akipenda basi siwezi zuiwa ah ah
Majaliwa Mungu akipenda basi siwezi zuiwa ah ah
Majaliwa, mahali naelekea lazma nitafika ah ah
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Ooh, majaliwa Mungu akipenda majaliwa ah
Na hata wakifunga milango, kaboom
Dirisha zimefunguliwa
Maisha huwa tough in the jungle
Lioness huwa halali njaa
Mama said I should always stay humble
Nilidrop all once in my lifetime
Ukanipa another chance coz you love me so
Naomba hii - nisifumble
Oooh the way you've saved me
Mipango yote ya shetani imepanguliwa
With the love and grace
Na msosi sikosi nimeandaliwa
So lemme make you proud
All the way to stars
Bendera yetu ipepee, ipepee
Majaliwa Mungu akipenda basi siwezi zuiwa ah ah
Majaliwa, mahali naelekea lazma nitafika ah ah
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Ooh, majaliwa Mungu akipenda majaliwa ah
Inua tumbla shukuru Sir Jah
Hata ka huna mkwanja shukuru afya
Hii ni ya mraia hajagive up on the hustle
Hii inainspire msee anaskia kuwa champion
Na aim for the top bila riftle
Marival hunicheki from afar ki horizon
Nastay on the top kama title
Na eyes on the price bila kuangalia kando
Majaliwa nina shoulder ninaweza lie one
Majaliwa ni Jehovah na rely on
Majaliwa hii ni ngoma itago viral
In time bro Kanairo nakuwa charts international
Majaliwa Mungu akipenda basi siwezi zuiwa ah ah
Majaliwa, mahali naelekea lazma nitafika ah ah
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Ooh, majaliwa Mungu akipenda majaliwa ah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Adventures of Chris Kaiga (Album)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHRIS KAIGA
Kenya
Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...
YOU MAY ALSO LIKE