Wakuabudiwa Lyrics
Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe mungu
Wakupewa sifa na utukufu ni wewe mungu
Mungu mwenye nguvu wastahili heshima zote
Hakuna mwingine wakulinganishwa na wewe mungu
Umesema wewe jina lako liko na liko niwe mungu
Unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu zetu mungu
Ukisema ndio nani awezaye kupinga hakuna
Wewe unatupa kushinda na zaidi ya kushinda
Unatupandisha utukufu hadi utukufu mungu
Uzima wetu uko miikononi mwako mungu
Unawapa nguvu wanyonge na wadhaifu mungu
Unawanyeshea mvua wema nao waovu mungu
Mwanadamu nani wakulinganishwa na wewe mungu
Nani mwenye nguvu wa kusimama mbele yako mungu
Bwana utukufu wako singuse mbali utukufu ukurudie wewe mungu wangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2013
Album : Wakuabudiwa (Album)
Copyright : ©2013
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE