High na Low Lyrics
Here is another one
Touch, take five now
Low inafanya niwakabe koo
Low inafanya hawahemi mabishoo
Low, mara kip nasambaza floor
Nawabana kimya kimya kama brother Jemo
Low, wanapopatia riziki napaziba
Mi ndio kivuruge nawavurugia ratiba
Low, anga zao nimegeuka mwiiba
Kwenye magetto yao wametandaza misiba
High, high, kwa hii beat kali nawafunza
Ushafukwa mwanangu wa kitaa nikaminuza
High, high, alokutuma kwangu kakutuza
Bado nina moto mkali naunguza
High, high, kama lakukera bro sorry
Na kama inauma haina jinsi bro pole
High, high, bado la kichanga dole
Natafuta ugali homework onyee
Low, inawafanya wanibembeleze
Nimekaza sana wanataka nilegeze
Low inawafanya wajipendekeze
Nina domo kubwa hawataki niwameze
Low, nawang'aza kama black virus
Nina confidence na simpi mjinga faida
Low, nawachambua ki Kalori Saida
Sijamaliza mishe mwendelezo wa tondolaila
High high, aki ya Mungu siwapendi polisi
Wanaotubandika kesi mitaji wanafilisi
High high, kuwachana humu haina jinsi
Hata niimbe choir kuna mistari tatisi
High high, haina haja ya kuogopana
Hii dunia kubwa dunia uwanja upana
High high, haina haja ya kuogopa balaa
Mngetupa nafasi tuiendeleze sanaa
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
Low inafanya nionekane serious
Nawapa michongo wana wana wananiona genius
Low inafanya nijione curious
Walioshindana nami wote wameitwa failures
Low, wanashangaa kila siku nipo
Mbona sipotei kama nyani ni filipo
Low, wanashangaa mbona nipo sipo
Mtu wa zamani tangu K Town people
High high, nashukuru Alhamdulillahi
Ewe Mungu Baba nipe kazi zenye masilahi
Na hapa astaka fillulahi
Wasanii wachawi kwenye mziki wetu hawatufai
High high, huku tunawaza vitu tubebane
Wao wanawaza kwa waganga walogane
High high, bora kama vipi ijulikane
Nani kigatula mwenye pepo tulikane
Low, basi wote mmesamehewa
Haya ni maombi na nyi nyote mmeombewa
Low, hiki ni kipaji sio ngekewa
Naweza imba pombe na nyi nyote mkalewa
Low, huu ni uwezo nilopewa
Wajanja wachache natumai mtaelewa
Low, hiki ni kipaji sio ngekewa
Naweza imba pombe na nyi nyote mkalewa
High high, naweza mezani chungu tasa
Na nilivyojaa ka Benjamin Mkapa
High high, nani anabisha kuja hapa
Skia beat ya T na serious inavyochapa
High high ngoma inakimbiza fielder kipai
Ngoma imejiseti kivyovyote mambo yakatai
High high wasanii wa chobo sasa bye bye
Hii kama ngama hainyongi kama nimevaa tai
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo
High high, pipipi popopopo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : High Na Low (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE