Home Search Countries Albums
Read en Translation

Wangu Lyrics


Yaw yaw

Aah

Kutoka alooh

Kama utani moyoni ameingia

Name nimesha zama

Tulikutana tiktok

Ndio mwanzo kufahamiana

Mara ghafla bin vuu

Kila kitu tunaendana

Ameninasa kama urimbo

Sitaki acha kumtazama eeh

Penzi mbona limenoga

Tamu kuzidi hata soda

Penzi mbona linamwagika

Kama maji ya bomba

Penzi mbona limenoga

Tamu kuzidi hata soda

Penzi mbona linamwagika

Kama maji ya bomba

Hasa nataka wajue unanipenda

Niite baby, baby wangu

Kwa wasio amini we ni wangu

Niite my, my wangu

Hata ukinipost caption

Andika sweety, sweety wangu

Wakija kukutongoza

Waambie nina mpenzi, mpenzi wangu

Mmmh

Aaah

Konde boy call me numbe one

Muombe mungu uzimaa

Tatizo la mapenzi kanituma mimi

Nikupee, nikupende

Iwe mabonde milima

We fly any weather

Rubani ndo mimi wa upendo

Nikupee, nikupende

Muoga wa kucheat no less

Vya uongo ndo kabisa siwezi

Na likizama unao tamba ni mwezi

Na kupost wajue sijiwezi baby, onaa

Penzi mbona limenoga

Tamu kuzidi hata soda

Penzi mbona linamwagika

Kama maji ya bomba

Penzi mbona limenoga

Tamu kuzidi hata soda

Penzi mbona linamwagika

Kama maji ya bomba

Mi nataka wajue kama unanipenda

Niite baby, baby wangu

Na kama ukinipost snapchat

Niite my, my wangu

My one and only

My love

My sweety, sxeety wangu

Wakija kukutongoza

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Copyright : ©2024 Bad Nation.All rights reserved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MARIOO

Tanzania

Marioo is a Tanzanian singer/songwriter  based in Dar Es Salam. His first single (Dar Kugumu), ...

YOU MAY ALSO LIKE