Uwiu Lyrics
Back to the left
Back to the right
Nilispend muda mwingi kukupata
Haikuwa rahisi nilisuffer
Shimo nililochimba
Kina kirefu sana mpenzi
Mtaani wanajiitaga majuba
Kazi ndoa za watu kuvuruga
Chunga chunga sana
Maneno kama spanner mpenzi
Back to the left
Back to the right
This is the label
Aki sikubali, si tumetoka mbali
Hawaijui safari ooh
Si tumepewa kibali na mwenyezi maanani
Mie tamu yako halali, ooh
Nimekupenda uwiu
You flex like a uwiu
My baby wangu uwiu
You such a beauty uwiu
You flex like a uwiu
I love ladies uwiu
Kipi mnachouliza nikiwa kwa yangu line
Choko choko za nini wakati tuko fine
Umbea mnamaliza bando niwaambie
The way she is my family
Sipendi kuona watu wanaandamana
Kusema vyangu na wangu visio na maana
Kusiriba tu, ooh yeah
Msidhani kama kaja kwangu kajileta tu
Nilisuffer mchana na usiku
Maana penzi lake bora na nusu
Maneno tusiwape
Mungu atujalie one day
Shuba mute wale
Bahari yetu wasiogelee
Si tumepewa kibali na mwenyezi maanani
Mie tamu yako halali, ooh
Nimekupenda uwiu
You flex like a uwiu
My baby wangu uwiu
You such a beauty uwiu
You flex like a uwiu
I love ladies uwiu, ooh
(Lizer on the Mix)
My baby uwiu
I love you uwiu
You such an uwiu ooh
My baby uwiu
You're amazing uwiu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Refresh Mind (Album)
Copyright : (c) 2020 Hightable Sounds.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE