Tena Lyrics
Take 5 now, take 5 now...
Mungu mwenye baraka
Nakushukuru kwa hizi fanaka
Naimba ninapotaka
Fungua njia nifunge mipaka
Nyota izidi kuwaka
Nipate nitoe sadaka
Waoneshe binadamu bila we ni taka taka
Niliwapa high and low wakasema nimeongea
Eeeh wengine kajifariji lege ikawaonea
Baba levo kalikamata jiji sasa wanaongea
We kubali tuko level fiti ngoma inapepea
Hehe mi ni mtatanishi ndio maana nawatatiza
Wanashangaa kilema anawkimbiza
Hawanitakii ila nishang'ang'aniza
Na siwaachi nazidi kukandamiza
Ati metjali wamekubali kwnza mi ni soo
Nitafika mbali nizidishe floor
Hawa wanati tea wanajiona kwa chop
Samata Sanata nawafunga goal goal
Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Walichokosa mizuka nimechafukwa na kina luja
Hata mvua inyeshe wameyatimba vumbi taruka
Wajanja wanasanuka, washamna kinashuka
Na hii haina kufeli songa karibu nikupe ukweli
Nishapiga makina ngoma mamidundiko mpaka singeli
Ila mambo ndo yamegoma hao wadau ni matapeli
Wanaopewagwa nafasi kijiwe nongwa tu hamna teli
Tunaojuaga nafasi sio sio madarasa ni matapeli
Kigoma mwisho wa reli
Nikiite kifala mtafeli
Asante kwa mashabiki wanaonipa kila la kheri
Pole kwa wanafiki wanaosifu kwa kukejeli
Muda ndo umefika tutapambana pah pah pah
Leo natangaza vita mi ndio kidume nani mwingine?
Wekeni vikwazo nitapita mi ndio kidume nani mwingine?
Hamwezi kuniongopea siiishi kwa mazoea
Nataka nipewe darasa la kuwafunza na kuwakemea
Watu niwape hamasa za kuwafunza na kuwazomea
Kisha nifanye siasa mwenye kuimba nikigombea
Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Tena (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE