Peke Yako Lyrics

Kwenye kitabu changu cha mapenzi
Kurasa ya kwanza iko picha yako wewe
Kutwa naomba kwa mwenyezi
Nisije kukukwaza ukaniacha mwenyewe
Umeuviringisha moyo wangu
Siwezi bisha ee
Umetakatisha akili yangu
We ndo wa maisha oh wee
Hata kama wakisema
Sitajali kamwe
Chanda changu chema
Kitavikwa nawe
Sitocheza na hisia zako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Nitabaki wako peke yako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Sitocheza na hisia zako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Nitabaki wako peke yako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Mimi kama nikikosa unanipa moyo
Unanisihi tusichoke kutafuta
Tulivyo kama mapacha tukiwa wote
Shida zangu ndio zako zikinikuta
Ukiniangalia mwenzako nyang'anyang'a
Sitokuachia mwenzako nitang'ang'ana
Sitokuachia mwenzako nitang'ang'ana
Nafurahia nipende sana sana oyee
Hata kama wakisema
Sitojali kamwe
Chanda changu chema
Kitavikwa nawe
Sitocheza na hisia zako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Nitabaki wako peke yako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Sitocheza na hisia zako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Nitabaki wako peke yako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Sitocheza na hisia zako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Nitabaki wako peke yako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Sitocheza na hisia zako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
Nitabaki wako peke yako
Ah ah ah ah, ah ah ah ah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Peke Yako (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE