Harmo Mavi Lyrics
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Ulifukuzwa Usafini ukapata wenge ni wenge
Ukakusanya chokora kuanzisha genge ni genge
Naskia umevuta bangi na unga sembe ni sembe
Bora mkafanye kilimo mkafanye jembe ni jembe
Nawapiga upper cut nagusa mpaka kongosho
Naona mziki umekushinda nenda kavune korosho
Baba H ndevu nyingi hana posho
Tangu Sara ameondoka umechoka mifuko down
Kajala ana V8 unamhonga crown
Kwa tamaa zako Anjella umeshamvua gown
Ulisema mtaenda India mbona sasa mpo town
Mameneja wa panda border tulikutana njiani
Wamepanda mshikaki chopper na mjerumani
Haya sa nawasha taa vaa ulichosaula
Usivae kibamia vaa ulichosaula
Amekushinda chui kwa simba lahaula
Una nuka jasho kali huwezi mpata Paula
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Harmo Mavi (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE