Usinikumbushe Remix Lyrics
Najua unajua maisha yangu
Tazama
Tena naelewa unajua kule nilikotoka
Rafiki yangu we
Najua unajua maisha yangu
Tazama
Tena naelewa unajua nilikotoka
Rafiki yangu we
Usiyafanye maisha yale ya zamani
Yawe Ni fimbo unichapie
Usiyafanye maisha yale ya zamani
Ywe Ni hukumu unihukumu
Usiyafanye maisha yale ya zamani
Yawe Ni fimbo unichapie
Usiyafanye maisha yale ya zamani
Ywe Ni hukumu unihukumu
Mungu amesema ameshayasahau
Mungu amesema hatayakumbuka
Mambo yangu ya zamani ameshayasahau
Uovu wangu wa zamani hataukumbuka
Hata kama unajua nilikuwa ni msinzi ndio
Usinikumbushe, Mungu ameshanipokea ah
Imebaki story
Ni ukweli unajua nilikua mlevi nalala bar
Usinikumbushe Mungu ashanipokea
Imebaki Ni story
Ni ukweli unajua nilikua nafanya dhambi
Usinikumbushe Mungu ashanipokea
Imebaki Ni story tu
[Jessica, Jsister]
Mambo yangu ya zamani yasikuchukue muda aah
Yatakuchelewesha rafiki yangu we
Mambo yangu ya zamani yasikuchukue muda aah
Yatakuchelewesha rafiki yangu we
Wakati uko busy kusema yule alikuwa mzinzi
Mimi niko busy na Mungu wangu
Wakati uko busy kusema yule alikuwa mlevi
Mimi niko busy na Mungu
Natafuta uwepo wake Mungu
Natafuta nguvu zake
Natafuta ufalme wake
Natafuta jina lake Mungu
Na Mungu anasema ameshayasahau
Mungu amesema hatayakumbuka
Mambo yangu ya zamani ameshayasahau
Uovu wangu wa zamani hatoukumbuka
Hata kama unajua nilikua sio mwaminifu
Usinikumbushe, yamepita haya
Imebaki story
Hata kama unajua nilikua mzizi ndio
Usinikumbushe huyu Yesu ashanipokea
Imebaki Ni story tu
Ni kweli unajua nilikuwa nafanya dhambi sana
Usinikumbushe, ameshanipokea
Imebaki story
Hata kama unajua nilikua mvutaji bangi
Usinikumbushe
Imebaki story
Eeeh Baba
Eeeeeh Mungu
Asante Yesu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Usinikumbushe Remix (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE