Viwango Vya Juu Lyrics
Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Yatosha, ulivyo zunguka jangwani
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Yatosha, ulivyo zunguka jangwani
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Haijalishi, umeomba mara ngapi mama yangu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Haijalishi umelia mara ngapi ndugu yangu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Magonjua (basi !)
Umasikini (basi !) heee
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Laana na mikosi (baasi)
Kunyanyaswa (baasi) heee
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Huu ni mwaka
(Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu)
Yatosha ulivyozunguka
(Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu)
Yatosha uliyoonewa
(Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu)
Weka tumaini lako kwake
(Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu)
Yeye asiyeshindwa
(Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu)
Chochote unachofanya
Mtangulize kwanza mungu kwa maombi
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Inuka pambana usikubali kurudishwa nyuma
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Yaliyokutesa jana wewe yape kisogo
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Ukijikwaa inuka muombe mungu, songa mbele
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Magonjua (basi !)
Umasikini (basi !) heee
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Laana na mikosi (baasi)
Kunyanyaswa (baasi) heee
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
(Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu
Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu
Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu)
Yatosha ulivyozunguka
(Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu)
Yatosha uliyoonewa
(Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu)
Weka tumaini lako kwake
(Huu ni mwaka, wa kuinuliwa na mungu)
Yeye asiyeshindwa
(Huu ni mwaka, wa kwenda viwango vya juu)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Viwango Vya Juu
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE