Siwezi Lyrics
Naya Eh
Vinci
SoundTribe
It’s Wulan baby
Mmh
Hivi unanibariki mapenzi kama yote kama yotee Aaah
Kwako sitikisiki siwesi sema chochote sema chochote
Nipo sawaa sawaa umenitibu umekua dawa
Twende sawa sawaaa me na wewe na we
Siwezi kusema chochote
Ulivonchanganya na unanipa vyote
Mapenzi majani huota kokote
Ooohh taratibu honey nikokote
Unanifanya naguna mmhh mhhh mhhh
Naguna mmmhhhh
Unanichanganya Mmmh mhhhhh mhhh
Naguna Mmmmhhhhhh
Unanichanganya
Eeeeehhh
Lody music on this oneee
Eeeeehhhh mmmhhheeeeeeee
Oyeeeeeeee
Na ntagara gara oh yan ntalia
Ukija kuniacha ooh baby ntalia
Hadi ngozi inang’ara unavyonipatia
Si kama mapacha couple inavutia
Sa niseme nini mimi kwako koro
Hatujafunga pingu hii ni minyororo
Ooh my gush saa kwanini nikuache dorooo
Kokote uendapo me nitakufollow
Sasa ningepata wapi raaaaaaaa raaaraaaa
Tatizo nini raaaaaaa raaaaraaaaa
Kwengine ningepata wapi raaaaaa raaaraaaa
Siwezi siwezi raaaaaaa raaaaraaaaa
Aaaaah siweziiiiiii
Siwezi kusema chochote
Ulivonchanganya na unanipa vyote
Mapenzi majani huota kokote
Ooohh taratibu honey nikokote
Unanifanya naguna mmhh mhhh mhhh
Naguna mmmhhhh
Unanichanganya mmmh mhhhhh mhhh
Naguna mmmmhhhhhh
Unanichanganya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Siwezi (Single)
Added By : Naya
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE