Home Search Countries Albums

Stupid Lyrics


Ooh my
Ammy waves
Stupid (wee wee wee)

Utafika ila haunikuti (never never never)
Utaniona ila haunigusi (no no no)
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu, wao ni stupid
Utafika ila haunikuti
Utaniona ila haunigusi
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu, wao ni stupid

Japo nina ghetto ila naishi kwa chati
Nikiamvaga kutokelezea utasema kabati
Na nikifika club nnavyoshobokewa utasema mchati
Naball kiwalani ila nateka bebe kutoka masaki changanua iyo hisabati
Moto ugusi (wuuu)
Kagoma kwenda mbuzi (yeaah)
Skia unaponiona natazama nyama ujue hapo nina mchuzi (money)
Chebukati cluise
Blogers wanataka news
Wakinitukana nnavyojichekesha utasema napenda upuuzi
Na vile walikariri njia wakihisi wananijua nawabadilikia
Push michuma nabadili gia
Pesa za mama sio za kuringia
Fanya michezo ila usifanye mchezo na mi jumba bovu litakuangukia
Tukivuta sana tunavutia, kimenuka sema tunanukia
Walipanga kutuchafua na tupo saafi
So kibajaji unafananisha na mwendokaasi
Ukifatiliianga mambo ya kwako hatutakugasii
Wakileta mikunyo huwatunawachoma na moto wa pasi
Naenda kama best rapper in this town
Naenda kama king cos i own this crown
Naenda kama legend
Naenda kama drizzy au wizzy
Naweza kwendakama chris brown
Nandomana naweka switch we huvai
Naenda kama soo clean so fly
Naenda kama kiss to the ladies wahuni wanasema
Naenda kama vile mtu ambae hafai na pia
Najua hunipendi ila it’s funny bro
Mwenzako nishahama nyumbani tho
Ukinionaga si unapata joma inabidi utembee na panadol
Ana ana hanadoo
We coming for you panya road
Ndomana tulikukataa

Kwa sababu we ni stupid
Utafika ila haunikuti (never never never)
Utaniona ila haunigusi (no no no)
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu, wao ni stupid
Utafika ila haunikuti
Utaniona ila haunigusi
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu, wao ni stupid

Kwa sababu, hao ni stupid
Out with the old man i’m back on my new shit
Me nalindwa na mungu shetani hanigusi
Marafiki sitaki juu wengi ni kupe
Nikona ideas to mob sana
Na incase hii kitu ikue boring then
Pian ntainmbia tu hosanna
Pia me naweza waibia ma doo bana
Nimechoka kusaidia ma bro kama
Asanti ya punda mateke so sioni kama ntaingia na uko canaan
Pressed i can piss on a record and i don’t gotta use no effort (joones)
Lunya
Kuna uwezekano hawa ma nigga tuwafunge ma leso
Buda
If i wanna brin git be assured ni ya leo si ya kesho
Judas
Man i find it funny wakinidunza vile nta maneuver ghetto
I’m a clapback king nobody told you ati opinion yako ina matter
Comparison munamke ni bonoko me nikishaipiga tapo na ngada
Paparazzi ina pararrira mingi better ukulie vako ma smarta
Toka siku gani mumeona wakilinganisha passo na passat

Lunya kama vipi brother mbona vijana wamejaa na gas mingi
Kila track niuchora ina maana been generous kupatiana
Ma collabo lakini na pass mingi
Si ma nigga wengi me huwa na trust ingi
Only know how to keep it real act ingi
I don’t give a fuck if you thinking na kaa stingy
So mkubali m’ngore i just bring it
So how we rapping is ruthless snapping in the booth
And masterd this new tricks capping is useless
Laugh as do, do this cassidy’s blue print
That’s what i use when i blast on new kids
Oh what really, what really happened to you kid
Dreams stay valid cause they lucid
Oh snap is you dumb, is you stupid stupid
Think they had enough man dueces

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Stupid (Single)


Copyright : (C) 2023 Sony Music Entertainment Africa (Pty) Ltd


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

YOUNG LUNYA

Tanzania

Young Lunya is a hiphop artist from Tanzania signed under Rooftop Gang a hiphop record label ba ...

YOU MAY ALSO LIKE