Usinikumbushe Lyrics
Najua unajua maisha yangu
Tazama
Tena naelewa unajua kule nilikotoka
Rafiki yangu we
Najua unajua maisha yangu Tazama
Tena naelewa unajua kule nilikotoka
Rafiki yangu we(x2)
Usiyafanye maisha yale ya zamani yawe Ni fimbo unichapie
Usiyafanye maisha yale ya zamani yawe Ni hukumu unihukumu(x2)
Mungu amesema ameshayasahau
Mungu amesema mambo yangu ya zamani ameshayasahau
Uovu wangu hataukumbuka
Ni ukweli unajua nilikua mlevi nalala bar
Usinikumbushe Mungu ashanipokea
Imebaki Ni story
Ni ukweli unajua nilikua nafanya dhambi
Usinikumbushe Mungu ashanipokea imebaki Ni story tu
Mambo yangu ya zamani yasikuchukue muda
Yatakuchelewesha rafiki yangu we
Mimi Niko busy na Mungu wangu
Natafuta uwepo wake Mungu
Natafuta nguvu zake
Natafuta ufalme wake
Natafuta jina lake
Mungu amesema hatayakumbuka
Mambo yangu ya zamani hatayakumbuka
Atakama unajua nilikua mzizi
Usinikumbushe Mungu ashanipokea
Imebaki Ni story tu
Eeeh Baba
Eeeeeh Mungu
Asante Yesu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Usinikumbushe
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE