Home Search Countries Albums

Hapa Kazi Tu

BEKA FLAVOUR

Hapa Kazi Tu Lyrics


Hey eeh CCM, hapa kazi tu
Hapa kazi tu

Kama kinda la ndege 
Nimetuliza na CCM nyumbani
Ona wale banduku wanahanya hanya
Kule vyama pinzani

Umelipata jembe 
Limefukia mashimo yote jamani
Wanatetemeka
Magufuli hanaga upinzani

Tena, habagui kabila 
Jinsia wala dini
Wote sawa 
Wale matajiri na sisi masikini

Kajenga na barabara za chini na juu
Kama zote
Usafiri wa mabawa wa Tanzania
Safiri kokote

Sasa huduma za afya vijijini kibao
Kibao kibao
Kaongeza na madarasa na waalimu kibao
Kibao kibao

Magufuli kweli chata wenye chuki kivyao
Kivyao kivyao
Mafisadi wamechacha we ndo kiboko yao
Yao

Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)
Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)

Kwanza wenye vyeti feki
Umewapanguza aheee
Kwenye kazi hucheki
Unakunja ndita

Wakina mama umewapiga jeki
Kwa kuwawezesha
Wenye midogo mitaji
Ushuru umefuta

Umejenga reli ooh 
Standard gauge mwendo kasi
Daraja la ferry ooh 
Bandari zetu mambo safi

Nani nani nani eeh
Asiyekupenda Magu eeh
Kweli kazi uliofanya
Umefanya uchumi upande kasi eeh

Magu Magufuli eeh
Asiyekupenda ni nani baba
Hapa kazi tu
Tanzania ije kuwa kama mbele

Sasa huduma za afya vijijini kibao
Kibao kibao
Kaongeza na madarasa na waalimu kibao
Kibao kibao

Magufuli kweli chata wenye chuki kivyao
Kivyao kivyao
Mafisadi wamechacha we ndo kiboko yao
Yao

Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)
Wakikutia doa tutakusafisha Magufuli(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)

Nihame niende wapi?
CCM najinafasi
Magu baba ongeza kasi
Wale wapate wasiwasi

Nihame niende wapi?
CCM najinafasi
Mama Samia ongeza kasi
Wale wapate wasiwasi

Nihame niende wapi?
CCM najinafasi
Majaliwa ongeza kasi
Wale wapate wasiwasi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Hapa Kazi Tu (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BEKA FLAVOUR

Tanzania

BEKA FLAVOUR  real name Bakari Katuti is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE