Home Search Countries Albums

Baba Anarejea

YOUNG DEE

Baba Anarejea Lyrics


Tuliskia kodi kodi 
Watu wakaona kama utani
Wako walomwaga pochi
Wakihisi mambo ka ya zamani

Hamna Bongo bahati mbaya 
Siku hizi Bongo kama Yami
Walotamani niende Ulaya
Leo nawaalika nyumbani

Njoo uone alfajiri
Ya kuamkia mbugani
Tushangae shangee nyani
Lunch twende Zanzibari

Nashukuru hatupigani
Nchi bado ya kijani
Niwaambie tu wapinzani
CCM number one

Baba huyoo, anarejea
Baba huyoo, anarejea
Wako wapi? Wapinzani washapotea
Wako wapi? Mafisadi washapotea

Baba huyoo, anarejea
Baba huyoo, anarejea
Wako wapi? Wapinzani washapotea
Wako wapi? Mafisadi washapotea

Upinzani wote chali 
Eti wanalia tumewaonea
Kumbe nchi inaendelea
Na watanzania wanajionea

Sa hamna kuongea ongea 
Tuzingua anatokea
Ka unajua umekosea
Kazi huna ishapotea

Ni bonge la sherehe, nderemo na vifijo
Hata bila ya campaign tungeshinda kwa vishindo
Piga vigelegele leo ni siku ya wazalendo
CCM mbele kwa mbele na hakuna kuacha pengo

Baba huyoo, anarejea
Baba huyoo, anarejea
Wako wapi? Wapinzani washapotea
Wako wapi? Mafisadi washapotea

Baba huyoo, anarejea
Baba huyoo, anarejea
Wako wapi? Wapinzani washapotea
Wako wapi? Mafisadi washapotea

Baba tubebe, we tubebe
Baba tubebe, we tubebe
Baba tubebe, we tubebe
Baba tubebe, we tubebe

Haha tuliwaambia hapa Kazi tu 

Baba tubebe, we tubebe
Baba tubebe, we tubebe
Baba tubebe, we tubebe
Baba tubebe, we tubebe

Baba huyoo, anarejea
Baba huyoo, anarejea
Wako wapi? Wapinzani washapotea
Wako wapi? Mafisadi washapotea

Baba huyoo, anarejea
Baba huyoo, anarejea
Wako wapi? Wapinzani washapotea
Wako wapi? Mafisadi washapotea

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Baba Anarejea (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

YOUNG DEE

Tanzania

YOUNG DEE  is a recording artist and rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE