Home Search Countries Albums

Serikali Kuu Lyrics


(Paul Maker on the beat)

Flow na midondoko ni unyama wanaungana 
Na wanaoficha ficha na hakisha nawaficha wakinipa feature
Ustaa nao ukitokeza tu mapicha picha
Ndo maana mama 'enu simweki wazi namficha ficha

Balaa balaa na more cuff nadrop bars
International hapigani na allstars
Ndoto ni kuwa na maisha yenye focus
Money ila wallet ina cash natoa purse
Kutwa kucha mnapigana vijembe
Hutopata papai chini ya muembe
Sasa we jifanye ni chizi wa mirembe
Uniguse nikuchane chane na viwembe

Ukali ni mistari mikali najulikana
Na hapa ndipo iyo mamistari inapatikana
Mi wako inaonekana maunyunyu mengi kwa sana
Natoka na piece kali na bado najulikana

Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

Serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

[Zima Olaitan]
--
--

[Chorus]
Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

Serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

[Moni Centorozone]
Asubuhi nahandle pusha, fruits na mafuta
Mapuli sihitaji pusha levels sikai mtaani kuta
Piga kelele mbili wewe kwa moni yake
Kila mmoja anachana veve kwa bebe yake
Hizi ni skills toka mtaani wanafeel sikunjani
Babes nataka nimwage ndani am like hell no punani
Njoo na serikali kuu utaona buya kwenye air
34 GB buku oa millionaire

Hii ndo ile bad kwenye news
Badili channel Magu kwenye news
Kabla ya kipima joto kwenye nyuzi
Tunasikitika kutangaza vifo vya marapper feki

[Chorus]
Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

[Deddy]
Kutana na black MC mwenye fimbo nawacha chacha
Flow zinafanana sana na pesa utajua makacha
Wivu ka kichefu chefu ukilamba inakata
Ukitaka roho ya kirasta ni kamba namwita rapture
Rapper hawafanyi ka hizi ni maangamizi tu
Babu utapata uchizi na taabu usiponijua
Nahisi utakuwa mwizi mwizi wa adabu
Inabidi upate adhabu sababu unadisturb na unazingua

Nawapa blueticks kwa IG na IP
Kwenye VIP mi siingii na IT
Acha usanii nina degree ya IT
Alafu sina team no side A no side B
Wakiachwa wanaenda kwenye redio
Wakifilisika hakuna stori ooh
Dar kugumu hujamsikiliza Marioo
Bisho...

[Chorus]
Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

[Country Boy]
Paul Maker can you please cut the beat oog
Nataka niongee waambiwe watege sikio
Eh wasikize kile nachospeak
Very carefully coz I will never repeat

Ukali ni mimi maana naona mkali ni mimi
Marapper wako hatari wanajua mkali ni mimi
Usicheze na mimi itakuwa ka unacheza na jini
Sijui simba mamba, wanoakoma na mimi

Alafu nakurespect ila usinidharau
Ukisomea za zamani Chidi Benz 
Wakati nikikugoogle huonekani
Shit is funny but you have to go
You see your bitch for me
And you crazy you ain't got doh
Ah I'm the illest it has never been
Ata sina crown wananiita king
Niko free niko Bob kama Marley
Na baby nipige kimoko

[Chorus]
Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Serikali Kuu (Album)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

COUNTRY BOY

Tanzania

Country Boy also known as Country Wizzy is an artist from Tanzania signed under Konde Music Worlwide ...

YOU MAY ALSO LIKE