Umealikwa? Lyrics
We bibi ngwena we umealikwa
Sa mbona umeshona sare umealikwa?
Au unatafuta lawama umealikwa?
Unataka watu wakutetee umealikwa?
We bibi ngwena we umealikwa
Sa mbona umeshona sare umealikwa?
Au unatafuta lawama umealikwa?
Unataka watu wakutetee umealikwa?
Shughuli hujaalikwa ngwena wee
Umeshona nguo kwa siku moja
Unamlaumu fundi Juma kaharibu we
Bega gauni umevaa kiroba
Tumekuchoka ngwena mwenye kijiba
Kudhalilisha wenzako sherehe
Ukiguzwa we kidogo unautangaza msiba
Unajiona wewe ndo wewe
Unahisi umeyapatia unaona wenzako wana shida
We bibi ngwena we umealikwa
Sa mbona umeshona sare umealikwa?
Au unatafuta lawama umealikwa?
Unataka watu wakutetee umealikwa?
We bibi ngwena we umealikwa
Sa mbona umeshona sare umealikwa?
Au unatafuta lawama umealikwa?
Unataka watu wakutetee umealikwa?
Ila umelibebea ndizi, shughuli sio yako hii
Viatu umebeba mkononi, shughuli sio yako hii
Unaomba mic ya nini, shughuli sio yako hii
Hata kama ukileta ukatuni, shughuli sio yako hii
Haya sasa wenye shughuli wote tuje katikati
Na wale wote waloalikwa mlo alikwa jamani wote tuje katikati
Wanakamati, wanakamati wote wote
Mliopendeza jamani njooni wote tuliamshe, twende sasa
Aii Shabani madobe, kataka kumsolai mwana
I mwana naye kalema, kasolai miguru kabana kwa uchungu
Aii Shabani madobe, kataka kumsolai mwana
I mwana naye kalema, kasolai miguru kabana kwa uchungu
Malkia ni mmoja, acha vitaa viseme
Na mzaha ni mzaha hata kama umemzidi unene
Umealikwa? Umealikwa?
Umealikwa? Umealikwa?
Umealikwa? Umealikwa?
Umealikwa? Umealikwa?
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Umealikwa? (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SNURA
Tanzania
Snura also known as Snusexy real name Snura Mushi is an artist from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE