My Baby Lyrics

Si unaniona nalia, haujui nalia nini usinishangae
Furaha inanizidia
Hadi ndani moyoni usishangae
Nimetimiza ndoto zangu, ndoto zangu
Nimempata mwanangu
Karibu duniani mtoto wangu, mtoto wangu
Ubarikiwe na mungu
Umenibadilishia jina
Nimekuwa mzazi umenipa heshima
Mwanangu nakupenda sana
Na nakuombea, uwe na maisha mema
So lemmi call you
My true love
My baby, true love
My baby, true love
Oooh true love
My true love
My baby, true love
My baby, true love
Oooh true love
Sitoacha kupambana kwa ajili yako
Furaha yangu iwe ya kwako
Umenifanya nijione special
Tunakupenda wazazi wako
Ooh we mtoto wangu (mtoto wangu)
Your my number one (my number one)
Umenipa amani
Kweli si utani
Umenibadilishia jina
Nimekuwa mzazi umenipa heshima
Mwanangu nakupenda sana
Na nakuombea, uwe na maisha mema
So lemmi call you
My true love
My baby, true love
Oooh true love
My true love
My baby, true love
My baby, true love
Oooh true love
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : My Baby (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE