Sina Shida Nae Lyrics

Eti siku hizi kawa big boss (Sina shida nae)
Akitembea bodyguard na chawa (Sina shida nae)
Mguu pande twende mguu sawa (Sina shida nae)
Me ni baniani kiatu changu dawa (Sina shida nae)
Mimi ni yule yule sijabadilika (Sina shida nae)
Tangu K-Vant, Konyagi na Coca (Sina shida nae)
Pamba zangu ni zile zile ni kanzu
Na moka nakupa na hii soon
Mnyamwezi naokoka
Oya wanangu sina shida nae (Sina shida nae)
Oya mie sina shida nae (Sina shida nae)
Eeh! Kama mnataka kupiga nyie pigeni
Mie awala sina shida nae (Sina shida nae)
Oya wahuni sina shida nae me (Sina shida nae)
Oya mie sina shida nae (Sina shida nae)
Ata nikimkuta guest me nampa
Na zana wala sina shida nae me (Sina shida nae)
Mama aah!
Uliniacha kisa danga mwenyewe IST
Ex! Ukampost sana huko IG
Ex! Bila kujali si ukatuweka na MA IG
Akakutafuna sana harafu akakutema
kama BIG G Ex!
Walikugonga sana kwa ofa za beer
Ex! Wakati mnyamwezi nilikuzingatia
Ex! Au ndo vile macho huwa
Hayana pazia walifunika pesa wewe
Nguo ukawafunulia
Eti siku hizi kawa big boss (Sina shida nae)
Akitembea bodyguard na chawa (Sina shida nae)
Mguu pande twende mguu sawa (Sina shida nae)
Me ni baniani kiatu changu dawa (Sina shida nae)
Mimi ni yule yule sijabadilika (Sina shida nae)
Tangu K-Vant, Konyagi na Coca (Sina shida nae)
Pamba zangu ni zile zile ni kanzu
na moka nakupa na hii soon
Me muhuni naokoka
Oya wanangu sina shida nae me (Sina shida nae)
Oya wahuni sina shida nae (Sina shida nae)
Eeh! Kama mnataka kupiga nyie pigeni
Me awala sina shida nae (Sina shida nae)
Oya wahuni sina shida nae mie (Sina shida nae)
Mie wala sina shida nae me (Sina shida nae)
Ata nikimkuta guest me nampa
Na zana wala sina shida nae me (Sina shida nae)
Si ulisema me ndo wako wa maisha
Ex! Au gari langu la kitanda
Halikukufikisha Ex! Nilikubali
utoke kidume nilipika dah!
Ukanichoresha sana kwa Brother and Sister
Ex!Majirani walisema
Nkasema semeni
Ex! Nikasema nayo
Nipo ndani niacheni
Ex! Kumbe mnyororo me niliupamba uwacheni
Aah! me mwenyewe la! anh! daah!
Oya wanangu sina shida nae (Sina shida nae)
Oya mie sina shida nae (Sina shida nae)
Eeh! Kama mnataka kupiga nyie pigeni
Me awala sina shida nae (Sina shida nae)
Oya wahuni sina shida nae (Sina shida nae)
Mie wala sina shida nae (Sina shida nae)
Ata nikimkuta guest me nampa
Na zana wala sina shida nae me (Sina shida nae)
Tah! ntah! tara tanta taaah! ( tiluuh! )
Oya wanangu sina shida nae (Sina shida nae)
Oya mie sina shida nae (Sina shida nae)
Eeh! Kama mnataka kupiga nyie pigeni
Mie awala sina shida nae (Sina shida nae)
Oya wahuni sina shida nae (Sina shida nae)
Mie wala sina shida nae (Sina shida nae)
Ata nikimkuta guest me nampa
na zana wala sina shida nae me (Sina shida nae)
Ucha.. (Sina shida nae)
Gachi B (Sina shida nae)
Dj kama vipi irudiwe eeh! (Sina shida nae)
Si wanapenda ku bang
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sina Shida Naye (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MABANTU
Tanzania
Mabantu Is A Urban Boy Band From Tanzania Consisting Of Muuh Mabantu And Twaah Mabantu ...
YOU MAY ALSO LIKE