Sijawahi Ona Lyrics

Sijaumbwa kwa bahati mbaya
Aah jamani napendwa
Hivi hivi nilivyo
Mungu ananipenda
Pamoja na madhaifu yangu
Lakini napendwa
Hivi hivi nilivyo
Mungu ananipenda
So ukinidharau,we nidharau tu
Lakini mimi na Mungu wangu tuna jambo letu
Na ukinicheka,we nicheke sana
Hizo kwa Mungu kelele tu
Hazinisumbui wala
Mungu wangu halali
Mungu wangu hasinzii
Na akisema anakubariki
Hakuna wakuzuia
Mungu wangu hashindwi
Mungu wangu hapangiwi
Neno lake halijawahi kupita
Bila kutimia....sijawahi ona
Sijawahi ona aahh aahh (mungu kama wewe aahh)
Sijawahi ona aaah aah ( mimi aah)
Sijawahi ona aaah aahh (upendo kama wako)
Sijawahi ona aah aaah (baba baba baba)
Wewe umesema akutegemeaye
Haumuachi ng'o aah aaah
Akutegemeaye Haumuachi ng'o
Na tukiomba kwa bidii
Tena kwa kumaanisha
Ye hutimiza ahadi tusipozimia moyo
Nakosaje ujasiri ndani
Nimembeba mtu wa maana
Naanzaje ...naanzaje
Hatua moja huanzisha nyingine
Na nyingine ananipa mwenyewe
Naachaje ....naachaje
Mungu wangu halali
Mungu wangu hasinzii
Na akisema anakubariki
Hakuna wakuzuia
Mungu wangu hashindwi
Mungu wangu hapangiwi
Neno lake halijawahi kupita
Bila kutimia....sijawahi ona
Sijawahi ona aahh aahh (mungu kama wewe aahh)
Sijawahi ona aaah aah ( mimi aah)
Sijawahi ona aaah aahh (upendo kama wako)
Sijawahi ona aah aaah (Baba baba baba)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
WALTER CHILAMBO
Tanzania
WALTER CHILAMBO is a Gospel Singer and Song Writer from Tanzania. He was the winner at Epic Bo ...
YOU MAY ALSO LIKE