ZAIDI Lyrics
Zinanikota goosebumps
Nikisikia jina lako
Me ninaweuka kabisa
Me ni chizi wako
Nakama ni mganga eeh
Mzuri huyu mganga wako
Sio kwakunipumbaza hukuu Baby mmmh
Mummy ongeza ubuyu nizidi ku umumnya eeh
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eeeh
Baby ongeza ubuyu
Nizidi ku umumunya eeeh mmh
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eeeh mmh
[CHORUS]
Kama ni pilipili maaa
Acha ukali me niusikie
Kama ni vita mama
Acha adui wanivamie
Kama we ni asali maaa
Acha na nyuki wanivamie
Lakini penzi lako baby
Hata kidogo lisipungue
No no nooo...
Zaidi, Zaidi, Zaidi Zaidi Mmmmh
Nipe nipe Zaidi, Zaidi, Zaidi
Wewee Zaidi, Zaidi, Zaidi
We we nipe Zaidi, Zaidi, Zaidi
Aiyaiyayayaaaaa aaah …. Aiyaiyayayaaaaa aaah
Nayosha mikono juu
Kwako me nime-surrender
Naona maajabu
Sungura Kazidiwa ujanjaa
Nimekua zuzu zu zu
Nimekua bubu bu bu buu
Nimekua mbumbu mbum bu Baby eeh
Nimekua zaidi ya nyumbu
Sioni sisikii
Sioni sisikii baby
Kama ni pilipili maaa
Acha ukali me niusikie
Kama ni vita mama
Acha adui wanivamie
Kama we ni asali maaa
Acha na nyuki wanivamie
Lakini penzi lako baby
Hata kidogo lisipungue
No no nooo...
Zaidi, Zaidi, Zaidi Zaidi Mmmmh
Nipe nipe Zaidi, Zaidi, Zaidi
Wewee Zaidi, Zaidi, Zaidi
We we nipe Zaidi, Zaidi, Zaidi
Aiyaiyayayaaaaa aaah …. Aiyaiyayayaaaaa aaah
Mummy ongeza ubuyu
Nizidi ku umumunya eeh
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eeeh
Baby ongeza ubuyu
Nizidi ku umumunya eeh
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eeh hmm
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Zaidi (Single)
Added By : Mbitakola
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE