Home Search Countries Albums

Messiah Lyrics


Ooh ooh ooh Messiah wanje
Mmh mmh mmh Messiah wanje

Hakuna jambo jipya mbele zako
Hakuna kitu kinashindikana
Na kila tuombalo bwana unajibu
Umetamalaki
NI kweli umetenda
Ni kweli umefanya
Ni kweli umetosha
Kweli wewe mtawala
Aaah aaah  (Yesu)
Eh eh eh eh  (Yesu)
Eh eeeH
Kwa Yesu shuka shuka shuka shuka (Hosannah)
Aah shuka  (Eh eh eh)
Shuka shuka shuka shuka
Ooh ooh ooh
Aah shuka

Anatupenda anatupenda  anatupenda Anatupenda
Anatupenda anatupenda  anatupenda Anatupenda Yesu

Aah shuka
Yesu
Kwa Yesu shuka shuka shuka shuka (Hosannah)
Aah shuka  (Eh eh eh)
Shuka shuka shuka shuka
Ooh ooh ooh aibo
Aah shuka
(Aibo bo bo bo bo
Aibo bo bo bo bo
Aibo bo bo bo bo
Aibo bo bo bo bo)

Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
(Aibo bo bo bo bo
Aibo bo bo bo bo
Aibo bo bo bo bo
Aibo bo bo bo bo)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Ushuhuda (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

WALTER CHILAMBO

Tanzania

WALTER CHILAMBO  is a Gospel Singer and Song Writer from Tanzania. He was the winner at Epic Bo ...

YOU MAY ALSO LIKE