Wewe Tu Lyrics
Yeah tulikutana kwenye Barbeque
Mtoto level zake, level chuo kikuu
Oooh, what's you name? Hukutaka nikufahamu
Yaani hilo tu
Umekuja na nani? Sema dada duu
Mi nataka nijitose yaani sawa huu
Nimekupenda bure na sidhani ka ni dhambi
Umenichanganya sana na hiyo yako rangi
Body lako, figure lako sawa ma msangi
Wengi sana humu ndani kwako hawatambi
Yaani presha presha presha
Bana nazoro na afisa kazinja
Unapagamisa misa misa
Na mapozi yako kama ninja
Mama ngoja vipi unataka order?
Iwe ndani ukitaka nnje ya border
Yeah geuka nyuma show me your baddest body girl
Hmm you got big ting ting girl
Bring your friend over, bring bring bring girl
The way you bend over, bend bend bend bend
And I'ma tell you straight
Girl you the killer
Men I own those killers
Tangu nimefika kuwa na wewe tu
Umeniteka kamoyo juu juu
Njoo karibu yangu nipate nafuu
Na mama we ndo moto kwenye barbeque
Aah aah beiby
Ah beiby girl you got me crazy
Aah aah beiby
Mmmh nakuona wewe tu
Nikikutazama naona kabisa unaitaka
Acha uoga bas ebu ondoa mashaka
Hata mimi pia ujue naipenda naitaka
Na washikaji humu ndani washatupa baraka
Si tuhalalishe, tuhalalishe mahusiano
Tatizo nini? Yaani nini hasa kwa mfano
Usiogope kuhusu urefu mapenzi sio kimo
Mi natoka Mbeya mtoto njia panda ya imo
Imo, yaani chapa chapa chapa ilale
Nipe uone navyoscore kama Amukile
Maradona Abedi Pelle yaani enzi zile
Acha acha acha, acha mapenzi yatawale
Mama ngoja vipi unataka order?
Iwe ndani ukitaka nje ya border
Yeah geuka nyuma show me your baddest body girl
Hmm you got big ting ting girl
Bring your friend over, bring bring bring girl
The way you bend over, bend bend bend bend
And I'ma tell you straight
Girl you the killer
Men I own those killers
Tangu nimefika kuwa na wewe tu
Umeniteka kamoyo juu juu
Njoo karibu yangu nipate nafuu
Na mama we ndo moto kwenye barbeque
Aah aah beiby
Ah beiby girl you got me crazy
Aah aah beiby
Mmmh nakuona wewe tu
Mataani mama umenisoma
Umenisoma lady(Nakuona wewe tu)
We pekee ndo nakuona
Nakuona beiby(Nakuona wewe tu)
Aah aah beiby
Aah aah beiby
Mmmh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Wewe Tu (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE