Home Search Countries Albums
Read en Translation

I Do Lyrics


My tomato we uko moyoni

Unanikosha roho, unanikosha roho

Unanigusa kunako furaha usoni nikuonapo nikuonapooo

Taabani taabani mi miyo wangu unacho jua kukupenda wewe

Na tumlaani shetani asije ingia kwenye penzi langu

Nibaki mwenyewe

Oh yes i do

Oh yes i do

Oh yes i do

Nakupenda

Oh yes i do

Oh yes i do

Oh yes i do

Nakupenda

Uhh nakupenda

Na kuhusu kuachana labda apange maulana

Waseme wakinong’ona usiku watakoroma

Kwako nimejazana, kwa urefu na upana

Ndege tunaoendena huruka kwa kufanana ooh

I found you the one in million

I love you today and tomorrow

Na we ndo umenitoa kwenye kilio you’re

Unanigusa kunako furaha usoni nikuonapo nikuonapooo

Taabani taabani mi miyo wangu unacho jua kukupenda wewe

Na tumlaani shetani asije ingia kwenye penzi langu

Nibaki mwenyewe

Oh yes i do

Oh yes i do

Oh yes i do

Me me nakupenda

Oh yes i do

Oh yes i do

Oh yes i do

Nakupenda

Angella

Angella

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

Angella Tz

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE