Umeniweza Lyrics
Kila siku nakuletea midoli
Cheza nayo ukinimiss sholi
Mi ndio namba kumixer magoli
Kila shimo nazama ka gololi
Wa uzuri wa kusifiwa, ringa na udeke
Ringa na udeke, ringa na udeke
Kwa sura ya kuvutia, macho na ucheke
Macho na ucheke, macho na ucheke
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, Pamela wee
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, Pamela wee
Hapo vipi? Unaonaje hapo baba
Unataka kipi? Nikupatie wewe baba
Mi siringi kwako nishagoma
Gusa unapotaka maana kila upande nimenona
Umeweza wangu hunnie, tukicheza kitandani
Oh biringe biringe bayoyo
Nimwagie miuno
Twende biringe biringe bayoyo
Nimwagie miuno
Pamela, toto la uswazi
Pamela, uno la kazi
Pamela, umenipiga kitanzi
Pamela, we ipige kazi
Pamela, toto la uswazi
Pamela, uno la kazi
Pamela, umenipiga kitanzi
Pamela
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, Pamela wee
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, I gon marry you
Umeniweza, Pamela wee
Oh biringe biringe bayoyo
Nimwagie miuno
Twende biringe biringe bayoyo
Nimwagie miuno
Oh biringe biringe bayoyo
Nimwagie miuno
Twende biringe biringe bayoyo
Nimwagie miuno
Twende kisambukile sambamba
Mama kisambukile sambamba
Twende kisambukile sambamba
Aya dada kisambukile sambamba
Umenikosha mama sambamba
Twende na wote sambamba
Umenikosha mama sambamba
Twende na wote sambamba
Aya tucheze kisambukile sambamba
Twende kisambukile sambamba
Aya kata kisambukile sambamba
Twende kisambukile sambamba
Twende tena kisambukile sambamba
Wote kisambukile sambamba
Weka chini kisambukile sambamba
Ninogeshe kisambukile sambamba
Rukudunkuku.....
Umeniweza, umeniweza
Umeniweza, umeniweza
Umeniweza, Pamela wee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Umeniweza (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PAM D
Tanzania
PAM DARLING aka Pam D or Pamela Dafa is an East African/Hottest Afro Pop Singer, female Singer ...
YOU MAY ALSO LIKE