Uniongoze Yesu Lyrics

Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze Yesu kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji
Niongoze nivuke salama
Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa nikuite
Hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami
Usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Dunia hii ina mambo mengi sana Baba
Sasa dhambi imetawala dunia
Waliookoka wengine wanarudi nyuma
Mi napenda nikupendeze Mungu upendezwe nami
Niyashike maagizo yako unifurahie
Neno lako Yesu likae ndani yangu
We Baba
Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze Yesu kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji
Niongoze nivuke salama
Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa nikuite
Hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami
Usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Kuna wengine wachanganya Mungu na dunia
Na wengine wanalibadili neno lako
Yesu ukisema na wao pia wanasema
Mi nataka nikusikie Yesu ukisema nami
Maana wewe ndio wa thamani maishani mwangu
Nguvu zako Yesu zikae ndani yangu
Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze Yesu kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji
Niongoze nivuke salama
Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa nikuite
Hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami
Usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Ni kweli Bwana nimekutana na vita kali (Vita Kali)
Lakini Yesu umepigana badala yangu (Badala yangu)
Wewe umekuwa ni mwamba wa wokovu wangu
Mbele yangu sijui kuna nini unipiganie
Usipokuwa nami sitaweza kitu unishikilie
Natamani sana nione uso wako Jemedari wangu
Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze Yesu kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji
Niongoze nivuke salama
Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa nikuite
Hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami
Usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa nikuite
Hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami
Usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa nikuite
Hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami
Usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Uniongoze Yesu (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE