Muhibu Lyrics
Oh it’s Abigail chams again
Ka niko ndotoni
Unavyo nilevya
Upendo unanimaliza
Na uko moyoni unanitosheleza baby
Na mwendo, nimaumaliza
Kwako baby mimi ooh mimi ooh
Pressure inashuka inapanda
Milio inainuka inapanda
Mwenzio ooh
Nimekua chawa mdananda
Kila unapokwenda nakuganda
Utaniua kwa mapenzi haya
Utanikill kwa mapenzi haya ooh
Muhibu muhibu nimekuchagua
Tabibu tabibu ooh wewe tu wewe
Muhibu muhibu nimekuchagua wewe, tu wewe
Tabibu tabibu ooh mmh uh mmh
Mi siwezi
Maana naona nimeshindwa
Ndio mana nimekuachia wewe mmh
Kwenye penzi
We ndio mshindi kwangu bingwa
Kikombe nakupatia wewe
Siguni sikohoi
Utachoniambia sichomoi
Hapa nilipo hoi
Sijiwezi goi goi mimi ooh
Pressure inashuka inapanda
Milio inainuka inapanda
Mwenzio ooh
Nimekua chawa mdananda
Kila unapokwenda nakuganda
Utaniua kwa mapenzi haya
Utanikill kwa mapenzi haya ooh
Muhibu muhibu nimekuchagua
Tabibu tabibu ooh wewe tu wewe
Muhibu muhibu nimekuchagua wewe, tu wewe
Tabibu tabibu ooh mmh uh mmh
Tamba baby tamba baby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Copyright : (C) 2024 Sony Music Entertainment East Africa Limited
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE