Home Search Countries Albums

Buni Mbinu

NIKKI MBISHI Feat. BELLE 9

Buni Mbinu Lyrics


Black in this
City Ocean
bonjour

Eeh 
Kama vipi twaacha nchi yetu
Au tuwa twaachia nchi yetu
Change change yetu
Naunga mkono naunga mkojo, oga

Wachange ie hapa change yetu
Bonjour
Tuna mbuni mbinu, lets Go!
Tuna mbinu mbuni

Sio kila aliye switch ni witch
Sio kila dem mnayekutana beach ni bitch
Sio kila wakipreach wanateach
Wananichanganya mpaka sielewi which is which
Labda ni witch doctor 
Unju ndio sababu
Lilo fanya washikaji waanze kujifunza hesabu(habari hiyo)

Mi sio hater, men I love you, no homo
Napanda juu mehn above you, with no promo
Watoto wangu nyie, eeh mi ni baba yenu
Mbona mnanisimanga kama nakulanga kwenyu
Huwa nasaza sina swagga za kumwaga menu
Namwaga pombe chini kuwakumbuka marehemu
(watch your peace)

Aah wamevamia kwetu kiweje
Sasa wanalia Yesu nibebe
Yechu nikwere, jiseti unidere
Ata slayqueen ukienda peku ni umeme

Mziki dhamani ongeza content na metaphor
(Ooh yeah)
Kasema nani? huwezi hit bila skendo
Hizo vitu siruhusu
Ati niwe feki nitrendi
Hizo vitu siruhusu
Ati niwe feki nitrendi

Aah kunju lewa 
Ndo huyu skill wa rap, kalewa toxiken
Watu pewa box ya shaft na hewa ya oxygen
Uone kama sumu kuivuta, ngumu kuikuta 
Ndumu kuitupa 
Wazee wa kitimba rungu kinuka
No more comparison, like father like son
You like others, am like non
You want peace, am like one

Nafaa kuwa the chef mbishi kama like wangu
Leo natema yai, kwani nimepenya kwa imani
Nanena ka imamu kwa mimbari na kuswali, nakubali
Watoto msichezee chatu mkali
Mapinduzi mnayo big televise, no tele lies
Ukiwa una judge haki zangu usisiti kuwa penalize

Siku hizi wanahisi labda nimetibukwa nyongo
Haitu-flich, ibada we jimix na wanuka shombo
Unavyoishi, baba unaeza ni diss nina kunywa bongo
Kumbe nina beast, na nina wish kuinua bongo

Mziki dhamani ongeza content na metaphor
(ooh yeah)
Kasema nani? huwezi hit bila skendo
Hizo vitu siruhusu
Ati niwe feki nitrendi
Hizo vitu siruhusu
Ati niwe feki nitrendi
Sitoruhusu!

Yeah usinishike, usinigonge bega
Mbaya wangu yuko hapa hapa, sichongi benga
Kama hujasafisha picha, usichome nega
Ukiamrishwa na maafisa, usikome nenda
Shida nyingi hufukuza marafiki, usikope fedha
Daudi wa quarter furaha yake, mbishi hakosi cheddah
Ama ako sound trader,no the con si trader

Kwa hizo drama za kishow, kwamba be forced to hate you
Nilidhani we ni hustler, unasaka riziki 
Kumbe unatafta maafa, unafwata riziki
Mwishowe unazima kwa fanta, vipi baba whisky
Nikki mbishi aminia, love, peace kwa Nyashinski

Yeah, another day another blessing
Ipo siku tutapewa presidential reception
Tukiacha watoto wazuri wakiwa deep in affection
Na sisi, tusiache dumisha passion ya mziki

Mziki dhamani ongeza content na metaphor
(Ooh yeah)
Kasema nani? huwezi hit bila skendo
Hizo vitu siruhusu
Ati niwe feki nitrendi
Hizo vitu siruhusu
Ati niwe feki nitrendi
Sitoruhusu!


 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Buni Mbinu


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NIKKI MBISHI

Tanzania

Nikki Mbishi is a Tanzania hiphop veteran. Genre: Hip-Hop/Rap Record label: Music La ...

YOU MAY ALSO LIKE