Walete Lyrics
Ohoo waite balia
Ila kwa sauti ya kapteni Sholo Mwamba
Mwamba ndo chuma na ndio steel wire
Eeh na kubaliana na wewe Shei
Weka balia...
Woi babaaa..
Chapa baliaaa...
Weka tena walete, walete
Humo humo, waelekeze wenzako
Woi baba, Rommy Jones ni noma
Weka tena, wakalishe vikao
Aai aai
Sholo Mwamba ni noma
Mama mama mama
Basi tena waelekezee, woi baba
We mwanangu wabalishe
Humo humo, wasichana waelekeze
Wewe mwanangu wabalishe
Teke tena, waambie waje mama
Wasiogope waje, tena
Waambie waje, yule
Wasiogope waje, tena
Waambie waje, yule
Wasiogope waje, tena
Ipate kijanja mama
We toroka uje, wasiogope gharama
Na Rommy Jones atagharamia
Kama pesa zipo, mama
Watoto wazuri wapo, woi baba
We mitungi ipo, tena
Msholo Mwamba nipo(mwamba game)
Mja Itito yupo
Kama si ngeli atawakilisha
Waambie waje(waje)
Wasiogope waje (waje)
Waambie waje(waje)
Wasiogope waje(waje)
Waambie waje(waje)
Wasiogope waje(waje)
Weka baliaa...
Ndo kwanza linaanza
Hili party la kijanja
Hujachelewa, twende mwanangu
Ujipigilie(humo humo)
Kuhusu njia, nitagharamia mie
Hili party la leo mwanangu la kijanja
Na wana wote tunakutana kiwanja
Weka baliaa...
Nataka nitoke na wewe
Nataka nikaspendi na wewe
Nataka nitoke na wewe
Ni party Nairobi na wewe
Basi tena kajiandae mama
Kajiandae tena(humo humo)
Kajiandae (twende game)
Kajiandae tena baba
Kajiandae mama tena
Kajiandae tena
Kajiandae mama mama
Kajiendae twende dada
Weka baliaa...
Jamani, hallo wewe
Habari ndio hiyo
Kwa sauti ya Kapteni Sholobo
Kwamba nakubaliana naye meneja Wasso
Msalimie huyo uncle Ali Mwangaza
Habari ndo iyo, unaambiwa aje?
Na hiki ni kigenge cha mia tatu sitini
Habari ndio hiyo, chapa baliaa...
Weka na mbia mwenyewe(mama)
Njia mkono upapase(humo humo)
Weka na mbia mwenyewe(ai baba)
Njia mkono upapase
Weka na mbia mwenyewe
Njia mkono upapase
Utakachokuta mwanangu size yako(oi mama)
Utakachokuta wewe baba size yako(mwamba game)
Utakachokuta na mwamba size yako(weka tena)
Utakachokuta nalo ni size yako
Iweke tena hapo hapo
Hapo usitoe mama hapo patamu
Hapo usitoe dada hapo patamu
Hapo usitoe mama hapo patamu
Hapo usitoe
Basi walete, Rommy Johns walete
Wa pembeni, walete
Waje kati, walete
Jamani, woi babaa...
Weka baliaa...
Kaka eeh, eeh..
Uje tuvimbe si dimba
Si dimba mtu ya mtu wapi?
Si dimba Kimakonde
Cha urugwai mpiga...
Cha urugwai hommie...
Cha urugwai mpiga...
Cha urugwai tena...
Cha urugwai tena...
Unapochezaga mwanangu naskia raha
Ebu cheza mwanangu niskie raha
Unavyopigaga mwanangu naskia raha
Ebu piga tena mwanangu niskie raha
Unapochezaga wanangu naskia raha
Ebu cheza wanangu niskie raha
Kibao katakata, mama katakata
Kibao katakata, katakata
Kibao katakata, katakata
Katakata dada tena
We tumewatafuta na leo tumewapata
Baikogo, baikogo mwanangu
Baikogo, baikogo we dada
Baikogo, baikogo sasa cheza
Baikogo, baikogo we mama
Baikogo, baikogo jamani
Mama hallo wewe
Woi baba, weka baliaa
Mama, naona raha
Mama, jamani raha
Aya sasa nataka nikiona akina
Dada wakichezesha moja moja sasa
Ebu tikisa sasa nione sasa
Tikisa wezere twende
Basi tena na moja moja(humo dada) moja moja
We chezesha moja moja(humo dada)moja moja
We tikisa moja moja(aii dada), moja moja
Mi nataka moja moja, moja moja
We tikisa moja moja, moja moja
We chezesha moja moja(mama mama)moja moja
Basi weka moja moja
Jamani, unanikosha wewe
Waambie waje(waje)
Wasiogope waje (waje)
Waambie waje(waje)
Wasiogope waje(waje)
Waambie waje(waje)
Wasiogope waje(waje)
RJ the Dj All day baby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Walete (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
RJ THE DJ
Tanzania
Romy Jones aka Rj The Dj is an artist, WCB vice president, Diamond Platnumz official Dj/ Wasaf ...
YOU MAY ALSO LIKE