Home Search Countries Albums

Wanga

MEJA KUNTA Feat. LAVA LAVA

Wanga Lyrics


Oooh oooh wanga wabaya
Ooh oooh wabaya
Ooh oooh wabaya
Ooh oooh wabaya

(Ngatale music)

Ooooh aah...
Wabaya hao(Burn music)
Wanga wabaya, kweli wabaya
Wanga wabaya

Ukiwa nacho watakuroga wanga
Ukiwa huna watakuroga wanga
Ukipata pesa watazusha unadanga
Wakati mwenyewe umejichanga

Wanga wabaya(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Hata mimi yalinikuta
Nikasingiziwa nimekufa
Mama yangu alilia sana
Oooh huruma mama

Wanga wabaya(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Mbona wana mambo meusi
Nikiposti picha wanacomment matusi
Nikikonda tu una virusi
Wana roho za kenge mixer mijusi(Mscheew)

Mama wabaya(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Labda nami nifanye kipi kizuri waja
Niwe rafiki wa kila mja
Iwe furaha inishinde husta
Haya yapite mengine yaja

Wanga wabaya hao(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Unamtaka kwio
Una hela kwio
Eti una dola kwio 
Nenda ukalale kwio

Kwiyo yoyoiyo kwio
Kwiyoyo kwema kwio
Wewe acha wee
Piga kelele kwa kwio wake wewe

Basi container muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
We muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)

Basi sina muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
We muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)

Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao mbao
Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao mbao

Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)
Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)

Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)
Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)

Basi ndinda na bingwa wa kudanga hata kwako huna 
We bingwa wa kudanga hata kwako huna
Dada unaringa una chura kumbe la kichina
Unaringa una chura kumbe la kichina

Na tipi tifua tetema(We tetema)
We tetema (We tetema)
Basi na twende tetema(We tetema)
Basi kidogo tetema(We tetema)
Na tifua tifua tetema(We tetema)

(Meja ngoja kwanza, ngoja kwanza)

Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Wahuni kuku kishingo, we kishingo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Wanga (Single)


Copyright : (c) 2020 Wasafi Records.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MEJA KUNTA

Tanzania

Meja Kunta aka PARISH LAWAL is an artist from Tanzania. Singeli artist at Uswazi music. Me ...

YOU MAY ALSO LIKE