Home Search Countries Albums

Utaniambia Nini

PROFESSOR JAY

Read en Translation

Utaniambia Nini Lyrics


Ah kwenye mziki nilianza kabla yako
Shahidi mama yako utaniambia nini?
Kama moto nimekula zaidi yako
Acha ngwanjala zako, utaniambia nini

Kama ng'ambo tulitimba kitambo
Kitambo kabla yako, utaniambia nini?
Mijengoni nilikuwa na baba zako
Wengine mama zako, utaniambia nini?

Nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu
Nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu
Saa nane kazi sio chaka la maovu
Ukiongelea nyota si kwetu sigara kali
Game ina safari japo tumeitoa mbali

Mziki huu umenifanya niwe mbunge
Nisimame imara mi kumi kama Maureen
Imani yangu ilinifanya nishinde
Namshukuru mwenyezi na zaidi naomba unilinde

Nina siri nyingi nyeti kama taulo la gesti
Ukinidelete wenzako wanarequest
Nilishasema ngoma ya watoto haikeshi
Leo Jay namada nakumalizia kesi

Watoto wanavimba kama milisho amira
Wanaume pisi kali mashauzi kama jamila
20 ina maana gani kama mnapoteza dira
Mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira

Ah kwenye mziki nilianza kabla yako
Shahidi mama yako utaniambia nini?
Kama moto nimekula zaidi yako
Acha ngwanjala zako, utaniambia nini

Kama ng'ambo tulitimba kitambo
Kitambo kabla yako, utaniambia nini?
Mijengoni nilikuwa na baba zako
Wengine mama zako, utaniambia nini?

Na kuja mnavuma na kupotea kama upepo
Hiki kipaji hazina ya maisha ya kesho
Wengi mnanyea mkono usiukate bali nauosha na jua
Mkikua mtajua wapi mlikosa

Mnasahau sicha cha kuku daima hakibebi mzigo
Sasa vipi jina dogo tu leo mnaanza zogo
Kimya cha mziki inanuka, maneno yake yananuka 
Nakuonya kama una jicho la tatu ona

Chezea mshahara dogo usichezee kazi
Kabla hujanisema jichoni mwako toa kibanzi
Wengi mnajiita  wanaharakati kumbe waoga
Kama kunguru hanenepi kwa jalala moja

Watoto wanavimba kama milisho amira
Wanaume pisi kali mashauzi kama jamila
20 ina maana gani kama mnapoteza dira
Mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira

Ah kwenye mziki nilianza kabla yako
Shahidi mama yako utaniambia nini?
Kama moto nimekula zaidi yako
Acha ngwanjala zako, utaniambia nini

Kama ng'ambo tulitimba kitambo
Kitambo kabla yako, utaniambia nini?
Mijengoni nilikuwa na baba zako
Wengine mama zako, utaniambia nini?

Sikubali wanitune kama remote control
I make sure everything remains roll
Najitoa kafara nife na tai shingoni
Machozi mengi machoni badala ya fedha mfukoni

Utaniambia nini?
Utaniambia nini?

(Tongwe Records baby)
Bin Laden!!!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Utaniambia Nini (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

PROFESSOR JAY

Tanzania

Born on December 29, 1975, Joseph Haule, popularly known as Professor Jay, is a Tanzanian hip hop ar ...

YOU MAY ALSO LIKE