Home Search Countries Albums

Kiberenge

HANSTONE

Kiberenge Lyrics


Shati mbuzi kagoma, kampeleka gereji
Kidonda cha kushona, amekifungia na bendeji
Ati nyama choma anashushia na fegi
Kama naiona nikikunjuka kwa bedi

Ka puturiko, ko ko
Ni mafuriko po po
Mwendo wa habari di jo jo
Uno la Mwasi Kitoko

Biringita nione unavyochezaga (Chezaga)
Kamwagika mtoto na mama kalimwaga (Kalimwaga)

Shika ukuta huo
Iteleze weka mafuta iyo (Aiyo aiyo)
Kibukta huyo 
Mwenye dera kashamsuta huyo (Aiyo aiyo)

Kiberenge hicho, kiberenge hicho
Kiberenge hicho, kiberenge hicho
Kiberenge hicho, kiberenge hicho
Kiberenge hicho, kiberenge hicho

Jasho la kuku halichurikizi
Mtoto mikiki mikiki
Mabutu si suki si suki
Natoka mkuku mwendo kiminuki

Sa anataka nimbebe kwenye mgongo
Nishushe moro kwetu matombo
Biringita nione unavyochezaga
Kamwagika mtoto na mama kalimwaga

Shika ukuta huo
Iteleze weka mafuta iyo (Aiyo aiyo)
Kibukta huyo 
Mwenye dera kashamsuta huyo (Aiyo aiyo)

Kiberenge hicho, kiberenge hicho
Kiberenge hicho, kiberenge hicho
Kiberenge hicho, kiberenge hicho
Kiberenge hicho, kiberenge hicho

Imesimama dede, moja hio
Yaani dede hataki do (Wima)
Imesimama dede (Wima) Moja hio (Wima)
Yaani dede (Wima) Hataki do (Wima)

Biringita nione unavyochezaga
Kamwagika mtoto na mama kalimwaga

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Amaizing (EP)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HANSTONE

Tanzania

Hanstone is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE