Home Search Countries Albums

Kaza Lyrics


Professor Jay, Black Rhyno, DonKoli, Mr Teacher & Simple X - KAZA lyrics

Dondada bado nazisoma tu rada
Niko bang juu ka shilingi ya mnada
Dada pandisha mini nasugua gaga
Wahuni kitaani tuyatupa mazaga zaga
Mbwa kalamba reli tunakaza
Mchizi kawasha fegi sheli jibu unalo jedwali jaza

Hatuyumbi, tunafagia mpaka vichungi
-- lizombe na sio kundi
Tunapenda watu safi sio walafi lafi
Ukileta ukolofi hata kwa kukuta ya Gadaffi
Hatutaki kubolonga kwendako tunakujua
Mipango tulipanga hatua tukachukua
Wenye idea zenye tija njooni tukaongee
Ridhika za maendeleo hizo ndo tunazotaka
Sio kiki za matukio na hadithi za kulicheka

Oya eeh, oyaa eeeh
Oya eeh, oyaa eeeh
Kaza, kaza, kaza, kaza
Kaza, kaza, kaza, kaza

Unataka mafanikio basi kaza
Leo nawacharaza nyie vilaza 
Mnaong'ang'ania kipaza
Ni mchongo si longo longo
Kama umeshindwa nyamaza
Maneno bila vitendo 
Ndo ujinga tunao kataza

Kaza hutaki fanya unalalamika
Wenzako wanakucheka na mkeka umechanika
Its the H to the A, to the U L E
Mkuu wa shingo, mkuu wa roni, tychi the Jet Lee

Zinzima, who got the keys to my Bima
Dogo lao leo nakalisha watu wazima
Maji ya kisima yenye kina, huwezi kuja pima
Soi drink kama drink za kichina(Kaza)
Kila kigogo nikikuwa laza 
Napata ladha mabratha wanavyozidi kukaza(Kaza)
Maisha kama fimbo nacharaza
Haina kunyamaza mi nakaza
Wataniita Gaza (Kaza)

Ombi ni -- na lizombe
Kaza kazia mwanale tuje kupiga chonge
Underground king nina hustle na wakongwe
Ma underground queens kazeni 
Na nyi mliinue kombe

Ni extra-extra, extravaganza
Baada ya chuo kikuu naendelea kukaza
Hii ni nukuu mwana mdogo mpaka ladha
Kupanda matawi ya juu inahitaji kukaza

Usinipe dili feki mamluki sitaki
Piga X dili nyepesi lazima uende less
Nipe dili babu kubwa weka mezani tumeki
Yaani kisimple simple tu, kama X

Oya eeh, oyaa eeeh
Oya eeh, oyaa eeeh
Kaza, kaza, kaza, kaza
Kaza, kaza, kaza, kaza

Oya eeh, oyaa eeeh
Oya eeh, oyaa eeeh
Kaza, kaza, kaza, kaza
Kaza, kaza, kaza, kaza

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Kaza (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

PROFESSOR JAY

Tanzania

Born on December 29, 1975, Joseph Haule, popularly known as Professor Jay, is a Tanzanian hip hop ar ...

YOU MAY ALSO LIKE