Niguse Niguse Tena Lyrics

Niguse tena Niguse tena
Ninaomba Baba niguse tena
Niguse tena Niguse tena
Ninaomba Baba niguse tena
Baba wa mbinguni
Nasimama mbele zako
Naleta mahitaji yangu sijiwezi Baba
Nilienda mahali pote sikupata msaada
Nategemea kwako leo uniguse tena
Ninaomba Baba uniguse tena
Niguse tena Niguse tena
Ninaomba Baba uniguse tena
Niguse Niguse Niguse
Niguse uniguse tena
Niguse Niguse Niguse
Niguse uniguse tena
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Niguse Tena
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
KRYSTAAL MUSIC
Tanzania
Krystaal Music is a gospel band from Tanzania made up of three brothers established by Bishop Fabian ...
YOU MAY ALSO LIKE