Mtoto wa Tajiri Lyrics

Mtoto wa tajiri naoa naoa
Mtoto wa tajiri huyo
Mtoto wa tajiri naoa naoa
Si mtoto wa tajiri huyo
Baba president mama pilot
Uncle Balesa
Jirani Moh Dweji
Cousin yake Manji, uncle balesa
Hana shida na mambo makeup
Wa kishua sio kiswaswa tu
Dada yake Wema Sepetu
Raha ya moto michoteso
Mtoto kapenda mikoleso
Saa ya nini nisioe
Mmmh unaniadisia
Vidume vya mjini mitelezo
Ndume ni mbili pata toko
Saa ya nini nisioe
Helalaleiyo
Ziko shida nyingi hajui
Nanyeshewa na mvua hajui
Napigwa na jua, hajui
Maseke maseke tu
Napanda Tuktuk kumfuata, hajui
Sometimes nachacha, hajui
Ye ni raha shida hajui, classic
Mtoto wa tajiri naoa naoa
Mtoto wa tajiri huyo
Mtoto wa tajiri naoa naoa
Si mtoto wa tajiri huyo
Mwana kulifind, mwana kulidate
Sijali najali tu chapaa
Ana sura ya baba
Sijali najali tu chapaa
Cha msingi yangu yanakwenda
Na ubonge wake kuna muda anifosi nimbebe
Ovyo tipwa tipwa
Nikibisha tu makofi na mateke
Ziko shida nyingi hajui
Nanyeshewa na mvua hajui
Napigwa na jua, hajui
Maseke maseke tu
Napanda Tuktuk kumfuata, hajui
Sometimes nachacha, hajui
Ye ni raha shida hajui, murder
Mtoto wa tajiri naoa naoa
Mtoto wa tajiri huyo (Umasikini bye bye)
Mtoto wa tajiri naoa naoa
Si mtoto wa tajiri huyo
Kanzu sio dera
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Refresh Mind (Album)
Copyright : (c) 2020 Hightable Sounds.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE