Ikitokea Lyrics
Mungu aliumba mbalamwezi kwenye giza ili twangaze
Kaumba jua kaumba miti
Kwa kivuli tujibanze
Dunia kaipamba na mapenzi
Mi na wewe tupendane
Hakuyaumba machozi
Ili mradi tutulizane
Nimezipata salamu
Kwa minal ibirisi
Kashanyooshwa
kalimiss Langu penzi
Kabla hujanipa utamu
Naomba umtumie msg Ajue umenikatazwa
Mazoea na Maex
Nakama ikitokea Naikitokea
Mi niko peponi naikitokea
We Uko motoni
Naikitokea Nitakufata naikitokea ooh ikitokea Naikitokea
Moyo wako haudundi tena
Naikitokea Basi wangu hauna mana Naikitokea
Nautoa Nakupa Nautadunda
Papapapariraraa parirara
Papapapariraraaa pararararaa
Papapapariraraa parirara
Papapapariraraaa pararararaa
Ukiacha gubu wivu ndo udhaifu wake
Amenikataza mazoea Najinsia yake
Yeye ndotwabibu mimi ndo udugu wake
Hataki masihara kabisa nautamu wake
Nikimpata muugwana Anayenijali mie yalaaah
Mapenzi yangu dhamana siwezi kucheat mie yalaaah
Nakua boya naNg’ang’ana Nanyenyekea mie
Waulize marafiki zangu wananijua mie
Nakama ikitokea naikitokea
Mi nikopeponi
Naikitokea we upo motoni ii nitakufata
Ooh ikitokea
moyo wako audundi tena
basi wangu hauna mana aah
nautoa nakupa nautadunda
Papapapariraraa parirara
Papapapariraraaa pararararaa
Papapapariraraa parirara
Papapapariraraaa pararararaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE