Home Search Countries Albums

Ipo Siku Remix

GOODLUCK GOZBERT Feat. RINGTONE

Read en Translation

Ipo Siku Remix Lyrics


Haijalishi kama umetoka Mwanza (Nibarikiwe)
Dar es salaam ama Nairobi Kenya(Nibarikiwe)

[VERSE 1: Goodluck Gozbert]
Ni mbali nimetoka
Tena ni ajabu kuwa hai
Maana ningeshakufaga
Ni mengi nimeona
Tena ya kuvunja moyo
Labda ningeshamwacha Mungu
Ooh Kama ni misongo ya mawazo
Magonjwa mama, nimepitia, ninazoea
Maumivu ya kudharauliwa, umasikini
Ni kila siku, ninajipa moyo

[CHORUS]
Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu (nami)
Ni ba ni ba nibarikikiwe
Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu (nami)
Ni ba ni ba nibarikikiwe

Nami (Niba niba nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Nibarikiwe (nibarikiwe)
Nami nibarikiwe ( nibarikiwe)
Niba, niba, nibarikiwe

[VERSE 2 : RINGTONE]
Najua Mungu wangu hajalala
Ndio maana mimi napiga sala
Leo yangu unaeza cheka
Dunia nzima imenipiga teke
Lakini mimi siko pekee
Mungu wangu amenibeba
Kama vile tai anainuwa, mwanawe angani
Anamuacha apeperuke,akianguka anamu inua
Ako njiani kuniinua, maana time yake imefika

(iye eh eh )

Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu nami
Ni ba ni ba nibarikikiwe
Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu nami
Ni ba ni ba nibarikikiwe

Nami (Niba niba nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Nibarikiwe (nibarikiwe)
Nami nibarikiwe ( nibarikiwe)
Niba, niba, nibarikiwe

[VERSE 3 : Goodluck Gozbert]
 Miaka imepita, unaombaga mtoto hupati
Vuta subira maana Yeye hachelewi (ngojaaa)
Ona biashara imeandamwa mikosi hupati
Usimwache Mungu, waganga watakuponza
Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna
Msimwache Mungu – michepuko sio jibu
Umeugua tumaini la kupona hakuna
Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia

[RIGNTONE]
Expiry date (ayaya)
Ya hizo shida zako (ayaya)
Imefika leo ndugu (ayaya)
Usilie amini Mungu (ayaya)
Expiry date (ayaya)
Ya hizo shida zako (ayaya)
Imefika leo ndugu (ayaya)
Usilie amini Mungu (ayaya)

Nawe ubarikiwe (nibarikiwe)
Ubarikiwe (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (nibarikiwe)
Ubarikiwe (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (nibarikiwe)
Ubarikiwe (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (nibarikiwe)
Ubarikiwe (nibarikiwe)
Uba, Uba, Ubarikiweee
Nawe nawe nawe….

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Ipo Siku Remix (Single)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GOODLUCK GOZBERT

Tanzania

Goodluck Gozbert is a Bongo Gospel Artist/Singer from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE