Watoto na Pombe Lyrics
Aaah aah... Aaah aah
Aaah aah... Aaah aah
Ooh bizee! Napiga hela kama benki
Wanegga swagga ila haiketi
Looku sipigi feki hutopata navaa feki
Leo hii Gucci au Prada
Mmh...pengine glasi za Oncada
Nakata mademu wakali
Zaidi ya Donna Tanasha
Simba wenu manyasi menu hainaga nyama
Sishoboki hata ngoma zikibuma
Still sassy sipendi mazoea
Hata ukinicheki nawachuna
Oooh baby what's your name?
Kuja ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasiwasi
Na kama Tinga linazima ita Taxi
And it's all on me
Bado mnatusoma namba
Penda watoto nyi darasa
Punguza selfie nitakukacha
Watoto na pombe, watoto na pombe
Watoto na pombe, nilichofuata ni
Watoto na pombe, watoto na pombe
Pombe, watoto na pombe
Pombe...aaaaaah totozzz
Pombe...aaaaaah totos..aaah
(Okwonko haha)
Wananiita Sultan huku ghetto
Njoo nikuonyeshe maisha ya Majengo
Tupitie Mpambe tule wali
Twende Pangani tuchane majani
Aah naona umevaa mini
Na unashinda ukiivuta vuta chini
Ni hio haga inainua sio siri
Samahani ni macho sio mimi
Tumefika humu ndani ya giza (Haha)
Usijali bei nitalipa (Yeah)
Kidogo msupa akaitisha
Nikaskia ameitisha King Fisher
Eeey! If you know you know (You know)
King Fisher panty remo-aiii
Manze ni leo, leo ndio leo
Manyundo leo watoto na vileo
Oooh baby what's your name?
Kuja ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasiwasi
Na kama Tinga linazima ita Taxi
And it's all on me
Bado mnatusoma namba
Penda watoto nyi darasa
Punguza selfie nitakukacha
Watoto na pombe, watoto na pombe
Watoto na pombe, nilichofuata ni
Watoto na pombe, watoto na pombe
Pombe, watoto na pombe
Pombe...aaaaaah totozzz
Pombe...aaaaaah totos..aaah
Na iwake! Whiskey River na Kiza
B Club, Golden Ice Na iwake!
Ooh ni starter pass
Platnumz, seven D
Na iwake! Whiskey River na Kiza
B Club, Golden Ice Na iwake!
Ooh ni starter pass
Platnumz, seven D
(Vicky pon dis)
Haha na Milan pia
Njuguna's na ka local pub haha
Kwa mama Esther, I see you!
Moraa!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Just In Love Album/ Watoto na Pombe (Album)
Copyright : (c) 2020 Just In Love Music
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
OTILE BROWN
Kenya
Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...
YOU MAY ALSO LIKE