Niende Lyrics
[CHORUS]
Bora nikuache uende uende uende
Ama mimi nisepe nisepe nisepe
Bora nikuache uende uende uende
Ama mimi nisepe nisepe ...
[VERSE 1]
Ohh right
Ade boy ukishikwa shikamana
Ukipendwa upendeke utaajeachwa
Kwani upewe nini wewe
Ufanyiwe nini
Uridhike, hauna shukrani
[PRE CHORUS]
Tena ole wako wewe
Juhudi zangu usisone bure
Si lazima unipoteze
Ndo ujue unanitaki
Tena ole wako wewe
Juhudi zangu usisone bure
Si lazima unipoteze
Ndo ujue unanitaki
[CHORUS]
Bora nikuache uende uende uende
Ama mimi nisepe nisepe nisepe
Bora nikuache uende uende uende
Ama mimi nisepe nisepe....
No no no no, no no no baby hmmmm
No no no no, no no no baby hmmmm
[VERSE 2]
Umeninyanyasa nyasa jamani eeh
Wamenisema sema sana mijirani eeh
Umenikomboa mwenzio
Umenikaba kooni
Sikohoi siongei
[PRE CHORUS]
Na ole wako wewe
Juhudi zangu usisone bure
Si lazima unipoteze
Ndo ujue unanitaki
Tena ole wako wewe
Juhudi zangu usisone bure
Si lazima unipoteze
Ndo ujue unanitaki
[CHORUS]
Bora nikuache uende uende uende
Ama mmi nisepe nisepe nisepe nisepe
Bora nikuache uende uende uende
Ama mimi nisepe nisepe (nisepe) ooh yeah
No no no no, no no no baby hmmmm
No no no no, no no no baby hmmmm
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Niende (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
OTILE BROWN
Kenya
Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...
YOU MAY ALSO LIKE